Wednesday, July 15, 2015

SIMU TV: Habari kutoka vituo vya Television mbalimbali

 SIMUtv: FIFA yashirikiana na TFF kuendesha kozi ya makocha wa makipa Kwa vilabu vya timu za mpira wa miguu vilivyoingia katika  ligi kuu. https://youtu.be/cPog5NVHKRw
SIMUtv: Uzalishaji wa zao la kahawa kwa kutumia kilimo hai ambacho hakitumii mbolea za viwandani  imezidi kuwanufaisha wakulima Mkoani Mbeya. https://youtu.be/dncF12APf1k
SIMUtv: Mgomba mteule wa CCM Dkt Magufui aonyesha msimamo wake katika kazi na kutangaza kiama kwa watumishi wa umma wazembe. https://youtu.be/zfHWQDh2QNU
SIMUtv: UKAWA  waendelea kumuweka mwali ndani, wasema vyama vimemteuwa mgombea kwa njia ya maridhiano  baina ya vyama hivyo. https://youtu.be/bkuRLlzZV_s
SIMUtv: Tume ya vyuo vikuu  nchini TCU yathibitisha usaili wa chuo cha Kampala KIU hii ni kufuatia tuhuma na migogoro mingi iliyojitokeza chuoni hapo. https://youtu.be/p2SUxPoDXQs
SIMUtv: Mfanya biashara maarufu Mkoani Mwanza aziacha familia mbili katika majonzi na simamzi baada ya kuwauwa wenzake wawili waliokuwa wakimdai http://youtu.be/V3X3GhYRFhs
SIMUtv: Tabora wazindua teknolojia mpya ya matumizi ya dawa za mitishamba ambayo huendana  sambamba na imni za kishirikina.http://youtu.be/awO-XvkoXAo
SIMUtv:  Baraza la uwezeshaji wananchi  linatafuta namna mbadala ya kukabiliana na changamoto za ajira kwa kuwezesha vikundi mbalimbali. https://youtu.be/1uUp7VXM2aI
SIMUtv: Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi na benki ya posta wamesaini hati ya makubaliano ya udhamini wa mikopo yenye masharti nafuu. https://youtu.be/IMWeoYbb6s0
SIMUtv:  Watanzania hususani vijana wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuomba ufadhiri katika mradi wa kuendeleza wajasiliamali unaosimamiwa na UBA. https://youtu.be/pG2SVQ2tdQE
SIMUtv: mkurugenzi wa wilaya ya ilala Ndg. Isaya Mngurumi amewataka wamachinga waliovamia maeneo ya Jangwani kuondoka eneo hilo. https://youtu.be/ZQ3y4XLAguY
SIMUtv: Ofisi ya taifa ya ukaguzi wa hesabu imefanikisha mpango wa mkakati kwa kutoa ripoti zaidi na kuanzishwa kwa ukaguzi wa utambuzi. https://youtu.be/4OYAiCAH__E

No comments: