Sunday, July 12, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

CHANNEL 10  NEWS
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu SUMATRA yajenga kituo maalum cha mfano kwa ajili ya waendesha Bodaboda.http://youtu.be/HWJe2vRVVFI
 Taasisi ya mafunzo ya wanasheria kwa vitendo yapata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake ikiwemo ongezeko la wananfunzi wanaodailiwa kwa mwaka. http://youtu.be/yoFChQ6CY60
 Wafanya biashara katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam waamua kujichukulia nafasi katika eneo la jangwa kama eneo lao la kudumu kwa biashara zao. http://youtu.be/nD_6JDT4Us4
 Serikali ya Mkoa wa Manyara yawataka madaktari wa hospitali pamoja na vituo vya afya kuacha mara moja uuzaji wa dawa za serikali katika vituo binafsi. http://youtu.be/vKvDQDXLRU8
  STAR TV NEWS
Kile kitendawili cha muda mrefu kilicho itesa CCM na kupelekea hatari za kuibuka makundi hatimaye chateguliwa leo na kuamsha shangwe. http://youtu.be/75rNX8-kLu4
 Joto la uchaguzi laendelea kupanda nchini kufuatia kada wa CCM Mwanza kutangaza nia ya kuwania ubunge jimbo la Ilemela.http://youtu.be/6Fg9_eV4Fww
 Kufuatia uteuzi wa Dr,John Pombe Maghufuli wakazi wa Mwanza wajitokeza kuelezea hisia zao juu ya uteuzi huo kwa ujumla wake. http://youtu.be/0f44ZjPgEcA
 Baada ya kutangazwa mgombea Uraisi wananchi mkoani Geita washangilia utenzi wa mbunge wao kuwa mgombea uraisi huku wakisifu hatua hiyo. http://youtu.be/1CrCESzlyag
 Baadhi ya wananchi mkoani Dar es salaam wazungumzia uteuzi wa Dr. John Magufuli huku wengi wakioneka na kuwa na imani naye. http://youtu.be/1mYEppvD418
 Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG, iko hatarini kushindwa kutimiza majukum yake kufuatia bajeti yake kukatwa kwa asilimia 40. http://youtu.be/TNpgvbjQTiM
 Shule ya msingi Indonanyado huko Monduli iko hatarini kuanguka kufuatia uchakavu wa jengo la shule hiyo.http://youtu.be/XRNpPtycIt4
 TBC NEWS
Baadhi ya watanzania nchini waeleza kuridhishwa na uteuzi wa Dr.John Pombe Maghufuli kongoza Bendera ya CCM.http://youtu.be/aVobbYuqx0I
 Baada ya kasumba,sekeseke, na sintofahamu ya muda ndani ya CCM hatimaye leo mbivu na mbichi zajulikana Dodoma huku shangwe zikitawala. http://youtu.be/pO66gTWAlnY
 Baadhi ya wachambuzi nchini waisifu ukomavu na mfumo wa chama cha Mapinduzi huku wakitanabaisha haiba za kiongozi huyo.http://youtu.be/BD0lbZtIY7g
 AZAM TV NEWS
 Bernad Membe pamoja na wagombea wengine waelezea furaha waliyo nayo kufuatia uteuzi wa Dr.John Pombe Maghufuli.http://youtu.be/C6rPIcCJ0xQ
 Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Mh. Raila Odinga ampongeza Dr.John Magufuli huku akieleza furaha yake.http://youtu.be/kXpdHgofEv0
 Wananchi mkoani kagera wapokea kwa furaha uteuzi wa Dr.John Maghufuli kuipeperusha bendera ya CCM katika chaguzi zijazo.http://youtu.be/NEMWYdhXWmA
 Baadhi ya wananchi waushauri umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kukubaliana ili kumpata mgombea 1 ili wafanikiwe katika uchaguzi ujao. http://youtu.be/_gIe-iijxnE

No comments: