![]() |
Wananchi
katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi
wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa
wauzaji wa Ndizi.![]() |
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi . |
![]() |
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole. |
![]() |
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo. |
![]() |
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole. |
![]() |
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea. |
No comments:
Post a Comment