Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa akiwashukuru baadhi
ya wafanyakazi wa kampuni kwa ushirikiano walio uonesha wakati wa
utendaji wake kazi katika hafla ya
kumuaga na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni hiyo Paul Mhato iliyofanyika katika ukumbi wa Sea criff jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Mhato akifurahia jambo katika hafra ya kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo na kumuaga Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Mafuta Engen hapa nchini, Mubita Akapelwa
aliee maliza muda wakekatikati kulia ni Meneja Utawala Kampuni ya
Mafuta Engin Tanzania Shannel Sihuimba.
Kushoto ni Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa aliemaliza
muda wake akipeana mkono wa shukurani na Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta Engin
Tanzania Shabaani Kajungilo.
Mkurungenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa aliemaliza muda wake wa kufanya kazi katika kampuni hiyo (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa
Msaidizi wa Mkurungenzi wa Kampuni ya Mafuta ya Tanzania ya Engen Donathi Mbarara.
Mkurungenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Mafuta ya EngenTanzania, Mubita Akapelwa aliemaliza muda wake akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo.
Picha na Emmanuel Massaka.
No comments:
Post a Comment