.Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Joel Lauren, Mkuu wa Masoko na mahusiano wa Benki ya Kcb Tanzania Christina Manyenye,Meneja Habari na Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylia Lupembe wakiongozwa na Diawani wa kata ya mwananyamala Songoro Mnyonge wakati walipokuwa wakiingia kwenye shule ya msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukabidhi msaada wa madawati 100 yaliyotolewa na benki ya KCB Tanzania. Jumla yashule 10 zimenufaika na msaada wa madawati 100 kila shule.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi msisiri kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili yakukabidhi msaada wa madawati 100.Kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Joel Lauren. Jumla yashule 10 zimenufaika na msaada wa madawati 100 kila shule.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye,(katikati )Meneja Habari na Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylia Lupembe wakimsikiliza kwa makini Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, Susan Orege(kulia) wakati alipokuwa akiwaelezea jambo kuhusiana na msaada wa madawati 100 waliyopewa na benki ya KCB Tanzania.
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi Msisiri wakiwa kwenye hafla ya kupokea msaada wa madawati 100 kutoka Benki ya KCB Tanzania ambapo jumla ya shule kumi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kmadawati 100 kwa ila shule.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki yaKCB Tanzania wakiwa kwenye hafla hiyo ya utoaji wa madawati 100. Kwa shule ya msingi msisiri jijini Dar es Salaam,
Meneja biashara wa benki ya KCB Tanzania(SME) tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam,Benjamini Mgonja akiteta jambo na wanafunzi wa shule ya msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, baada ya kuwakabidhi msaada wa madwati 100 hafla hiyo imefanyika leo shuleni hapo
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule ya msingi Msisiri iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jumla ya madawati 1000 yametolewa msaada na benki hiyo kwa shule kumi kila shule madawati 100.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye , akipongezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)Joel Laurent mara baada ya kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule ya msingi Msisiri yaKinondoni jijini Dar es Salaam, kati ya 1000 yaliyotolewa kwa shule kumi za msingi ambapo kila shule imepta msaada wa madaati 100.hafla hiyo ilig\fanyika jana kwkatika shule ya Msisiri Kinondoni Dar es Salaam
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye( kulia) akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya msisiri Kinondoni jijini Dar es salaam, Susan Orege moja ya dawati kati ya 100 waliyopewa msaada na benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo .Katikati ni MKurugenzi Mkuu wa mamlaka ya Elimu Tanzania Joel Laurent akishuhudia ,Shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kila shule kupata madawati 100.

Mkuu wa Masoko na mahusiano wa Benki ya Kcb Tanzania Christina Manyenye (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)Joel Laurent na Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi msisiri , Susan Orege, wakifurahia jambo huku wakiwa wamekalia moja ya dawati kati ya 100 yaliyokabidhiwa shuleni hapo na KCB benki . Jumla ya shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada wa madawati 100 kwa kila shule.
Wanafunzi wa shule ya msingi Msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakimsalimia kwa furaha Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye baada ya kuwakabidhi msaada wa madwati 100 kwa ajili ya sshule hiyo. Shule kumi za jijini zimenufaika namsaada huo kwa kila shule kupata matawati 100.

No comments:
Post a Comment