![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
![]() | ||
Daraja linalotenganisha vijiji vya Singa na Sungu wilaya ya Moshi vijijini ambalo kwa sasa limekuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa maeneo hayo kufika kwa urahisi katika hosptali ya Kibosho. |
![]() |
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Remida Ibrahim akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya mradi huo pamoja na kufanya utambulisho kwa viongozi. |
![]() |
Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Erastus Rufunguro akizungumza katika makabidhiano hayo. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe katika daraja hilo kuashiria uzinduzi rasmi wa dara. |
![]() |
RC Gama akipita pamoja na viongozi wengine kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika dara hilo |
![]() |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kandaya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment