Thursday, June 25, 2015

RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI

_________MAREHEMU DONALD MAX___________


NA.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
MAHALI
1.
12:00 - 02:00
Familia kuandaa Mwili wa Marehemu
Familia
Nyumbani
2.
02:00 - 04:00
Taratibu za Kimila
Familia
Nyumbani
3.
04:00 - 05:00
Chai/Chakula
Familia
Nyumbani
4.
04:00 - 05:00
§  Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
Katibu wa Bunge
Karimjee


§  Viongozi wa Vyama vya Siasa,  Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao
Katibu wa Bunge
Karimjee
5.
05:00
Kiongozi wa Upinzani Bungeni Kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
6.
05:00
Mhe. Spika kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
7.
05:08
Mhe. Jaji Mkuu kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
8.
05:10
Mhe. Waziri Mkuu Kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
9.
05:12
Mhe. Makamu wa Rais Kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
11.
05:15
Mhe. Rais Kuwasili
Katibu wa Bunge
Karimjee
12.
05:20 - 05:25
Mwili wa Marehemu Kuwasili kwa Gwaride Maalum la Sergeant-At-Arms
Katibu wa Bunge
Karimjee
13.
05:25 - 05:40
Sala Fupi
Kanisa Katoliki
Karimjee
14.
05:40 - 05:45
Wasifu wa Marehemu
Katibu wa Bunge
Karimjee
15.
05:45 - 05:48
Salaam za Rambirambi toka Geita
Mwakilishi
Karimjee
15.
05:48 - 05:51
Salaam za Rambirambi toka Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani
KUB
Karimjee
16.
05:51 - 05:58
Salaam za Rambirambi toka Chama cha Mapinduzi
Katibu Mkuu
Karimjee
17.
05:58 - 06:05
Salaam za Rambirambi za Serikali
Waziri Mkuu
Karimjee
18.
06:05 - 06:10
Salaam za Rambirambi  za Uongozi wa Bunge
Mhe. Spika
Karimjee
19.
06:10 - 06:15
Neno la Shukrani toka kwa Familia
Mwakilishi wa Familia
Karimjee
20.
06:15 - 07:00
Kuaga Mwili wa Marehemu kuungana na Itifaki
Itifaki
Karimjee
21.
07:00 - 07:15
Viongozi wa Kitaifa kuelekea Makaburini
Itifaki
Karimjee
22.
07:15 - 07:30
Msafara wa Waombolezaji na Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini
RPC
Karimjee
23.
07:30
Mwilli wa Marehemu na Waombolezaji Kuwasili Makaburini
Itifaki
Makaburi ya Kinondoni
24.
07:30 - 08:00
Ibada ya Mazishi
Kanisa Katoliki
Makaburi ya Kinondoni
25.
08:00 - 08:20
Kuweka udongo kulingana na Itifaki
MC
Makaburi ya Kinondoni
26.
08:20 - 08:40
Kuweka Mashada kulingana na Itifaki
MC
Makaburi ya Kinondoni
27.
08:40 - 09:00
Viongozi wa Kitaifa na Waombolezaji Kuondoka Makaburini
Itifaki
Makaburi ya Kinondoni

No comments: