Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbawara na Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akipita meza kuu kwenda kutoa mada wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa mada yake juu ya umuhimu wa sayansi na utafiti
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa mada yake juu ya umuhimu wa sayansi na utafiti.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akimshukuru Rais Kikwete kwa kuwafungulia kongamano hilo.
Meza kuu katika picha ya pamoja na watafiti na wanasayansi vijana
Meza kuu na watafiti na wanasayansi
Meza kuu na maafisa wa wizara ya Sayansi na Teknolojia
Balozi wa Sweden nchini akisalimiana na Rais Kikwete
Meza kuu katika picha ya pamoja na wafadhili na wataalamu kutoka Korea
Bendi ya THT ikit
Rais Kikwete akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano. Hapa ni banda la COSTECH
Rais Kikwete akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Kikwete akiangalia ubunifu wa teknoljia wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akipata picha na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Kikwete akipeana mikono na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akipata maelezo wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Banda la tasisi ya Utafiti wa Kilimo
Rais Kikwete akipata maelezo juu ya teknolojia mpya ya kupunguza ajali barabarani wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Profesa Nerey Mvungi juu ya teknolojia mpya ya kupunguza ajali barabarani wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Kikwete akipata maelezo ya tasisi ya SEMA inayojishughulisha na utumiaji wa teknolojia ya kisaa katika kupatikana kwa maji safi na salama vijijini wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa mmoja wa wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo
Rais Kikwete akipata maelezo ya utengenezaji w kisasa wa Juisi ya ndizi
Rais Kikwete akisalimiana na mtaalamu wa kutoka Ujerumani anayefundisha wataalamu wa Tanzania namna ya kukabiliana na maji taka na takataka mijini
Wataalamu wakieleza namna ya kukabiliana na maji taka na takataka mijini
Banda la Oxford University Pres
Vitabu vya kiada katika banda la Oxford
Zawadi ya Kamusi ya Kiingereza ya Oxford

Kituo cha utafiti wa dawa asilia cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Watalamu wa kupambana na ugonjwa wa sickle ceel
Rais Kikwete katika banda la Max Malipo ambayo imetokana na juhudi za COSTECH za kuvumbua na kukuza vipaji vya wanasayansi na watafiti

Max Malipo
Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa mtafiti kijana wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa kijana Godfrey Magila ambaye amebuni king'amuzi cha kutumika kwa simu za mikononi kupata TV zote nchini kwa gharama nafuu na popote ulipo nchini

Rais Kikwete akiendelea kutembelea mabanda ya vijana wabunifu
Banda la Mkombozi SACCOS
Rais Kikwete akiondoka baada ya kumaliza kutembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Balozi wa Sweden nchini akiwa mmoja wa washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo.
MC wa shughuli hiyo Bw. Theophil Mlaki akiwa kazini
Waziri wa Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbawara akisoma hotuba yake katika kongamano hilo lililofana.
No comments:
Post a Comment