Thursday, June 11, 2015

PROF. MUHONGO APATA WADHAMINI, JIJINI DAR

Mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Sospeter Muhongo (kulia), akizungumza jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kushoto), wakati alipofika Ofisi za chama hicho kwa ajili ya kutafuta wadhamini, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimshuhudia Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akijaza jina lake kumdhamini, Ofisi za CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Katikati ni mmoja wa waratibu wa zoezi hilo, kutoka timu ya Profesa Muhongo, John Melele.
Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akizungumza jambo na Profesa Muhongo, alipokuwa akimshukuru, mara baada ya kumdhamini.
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Sospeter Muhongo (aliyesimama), akimshuhudia mmoja wa wanachama wa CCM, Juma Minde (kulia), wakati alipokuwa akijaza jina lake kwenye fomu za kumdhamini, Ofisi za CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Kushoto aliyekaa ni mkewe Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, Juma Minde (kulia), mara baada ya kumjazia fomu ya kumdhamini. 
Profesa Sospeter Muhongo (aliyesimama), akimshuhudia mmoja wa wanachama wa CCM, Neema Mabeba (kulia), wakati alipokuwa akijaza jina lake kwenye fomu za kumdhamini, Ofisi za CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Kushoto aliyekaa ni mkewe Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, Neema Mabeba (kulia), mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, Morris Hella (kulia), mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, Morris Hella (kulia), mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Profesa Muhongo, akimshukuru, mmoja wa wadhamini wake, Anastazia Mirambo (kulia), mara baada ya kumdhamini. Kushoto aliyekaa ni mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo. 
Mke wa Profesa Muhongo, Mama Berthe Muhongo (kushoto), akimshukuru mwanachama wa CCM, aliyemdhamini mume wake, Anastazia Mirambo.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kulia), akizisaini fomu za wanachama waliomdhamini Profesa Sospeter Muhongo kabla ya kukabidhi rasmi kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Temeke leo. Profesa Muhongo, amechukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba, mwaka huu.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kulia), akimkabidhi Profesa Sospeter Muhongo, fomu zenye majina ya watu waliomdhamini wilayani humo, Dar es Salaam leo.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kulia), akimkabidhi Profesa Sospeter Muhongo, fomu zenye majina ya watu waliomdhamini wilayani humo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni mkewe, Berthe Muhongo.
Profesa Sospeter Muhongo (katikati), akiwa pamoja na wanachama waliomdhamini nje ya Ofisi ya CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni mkewe, Berthe Muhongo.
Profesa Sospeter Muhongo (katikati), akizungumza na wanachama waliomdhamini nje ya Ofisi ya CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni mkewe, Berthe Muhongo.

Profesa Sospeter Muhongo (katikati), akiagana na wanachama wa chama hicho, mara baada ya kumkabidhi fomu zenye majina ya kumdhamini wilayani Temeke, Dar es Salaam leo.

No comments: