Tuesday, June 16, 2015

Mtanange wa mtani wa jadi Bonanza uliopigwa jana Dubai, UAE, Yanga-5, Simba-2

Matokeo ya mechi iliyochezwa jana huko Dubai katika mpambano mkali kwenye "Mtani Jadi Bonanza" kati ya Simba na Yanga, mpambano ulioandaliwa kwa ushirikiano wa jumuiya ya watanzania wanaoishi huko United Arab Emirates. Yanga walibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5, huku Simba wakipata magoli 2. Mgeni rasmi kwenye mechi hiyo alikuwa balozi mkubwa wa Tanzania kwa United Arab Emirates Mheshimiwa Mbarouk





















No comments: