Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.
Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.
Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa wanawake na Maendeleo katika Bara hili.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Dr. Sarah Maongezi wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo (katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijiandaa kutoa hotuba yake ya mwisho kwenye Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika unaofanyika huko Johannesburg Afrika Kusini
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
PICHA NA JOHN LUKUWI.
No comments:
Post a Comment