Thursday, June 4, 2015

Mkuu wa Wilaya Igunga awaambia wananchi “Chonde chonde fichueni wanaoficha wenye maradhi ya Fistula”

Wakazi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Zipporah Pangani, alipokuwa akiwaelewesha juu ya maradhi ya Fistula wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi hayo wilayani humo.Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume kuwaruhusu akina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Mh.Zipporah Pangani( katikati) akimsikiliza kwa makini Mwajuma Rashid wakati alipokuwa akiwasomea moja ya kipeperushi kuhusiana na ugonjwa wa Fistula.,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume kuwaruhusu wakina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Mh.Zipporah Pangani( katikati) na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon (kushoto)wakimsikiliza Meneja Mawasiliano wa Hospitali ya CCBRT Abdul Kajumulo,wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu.Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Igunga MKoani Tabora waliojitokeza kwenye uwanja wa Sokoine wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu nchini kuwataka wanawake wenye maradhi hayo kujitokeza kupata matibabu. Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Mmoja wa wasanii wa kundi la Mjomba Bendi Maria John akiigiza kwa hisia kali kwa wakazi wa Igunga waliofurika katika uwanja wa Sokoine wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza akina mama wenye maradhi hayo kujitokeza kutibiwa.
Wanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya Igunga Mkoani Tabora,Asha Omari (kushoto) na Fatma Juma wakisoma kipeperushi walichogawiwa wakati wa kampeni ya maradhi ya Fistula iliyofanyika mkoani humo,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu ya hapa nchini na akina mama wenye maradhi hayo wanahimizwa kujitokeza wakatibiwe. Inakadiriwa wastani ya wanawake 3,000 kwa mwaka hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.

No comments: