Monday, June 15, 2015

MAADHIMISHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA NDIJANI, ZANZIBAR

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi Asma Abdalla Khamis darasa la kumi na mbili Ndijani kuhusu utengenezaji wa Mafuta ya mgando ambayo utengenezaji wake unatokana na Nta,mafuta ya Nazi na Mawardi wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Ahmada Hija.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Chara Stivin Bakari ambao hutoa misaada mbali mbali kwa Watu wenye ulemavu wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipokea zawadi maalum ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Chara Stivin Bakari wenye ofisi zake Mazizini Mkoa wa Magharibi wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo akimuwakilisha Rais wa Zanzibar katika sherehe hizo.
Baadhi ya wazee na wananchi wa Kijiji cha Ndijani na Vitongoji vyake waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna alipozungumza nao leo wakati akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo.
Baadhi ya wazee na wananchi wa Kijiji cha Ndijani na Vitongoji vyake waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna alipozungumza nao leo wakati akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo.
Baadhi ya wazee Akina mama na wanafunzi wa Skuli ya Bembela ya Mjini Magharibi walioalikwa katika katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna alipozungumza nao leo wakati akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna alipokuwa akitoa hutuba katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini9 Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Dkt.Idriss Muslim Hija na (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Kati Mhe Vuai Mwinyi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna akipokea Risala iliyosomwa na Mwalimu Saleh Kassim wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo leo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna akimkabidhi cheti maalum Dkt. Issa Haji Zidi akiwa ni miomgoni mwa watu mbali mbali waliowahi kusoma katika Skuli ya Ndijani wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Skuli hiyo leo. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments: