Tuesday, June 9, 2015

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Kilolo, Profesa Peter Msolla (kushoto) akiteta na Mbunge wa Rungwe Magharibi, Profesa David Mwakyusa, Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Stephen Kebwe akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini na Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 9, 2015.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: