Thursday, June 11, 2015

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, Bungeni Mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Nyamagana, Ezekia Wenje, bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema akisikiliza kwa makini bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Mbunge wa Ngara, Deogratias Ntukamzina akisikiliza kwa makini Bungeni Mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandishi Christopher Chiza akisikiliza kwa Makini Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Waziri waNchi Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya akisikiliza kwa makini Bungeni juni 11, 2015.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Dr. Mary Nagu akiwasilisha taarifa ya hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2014 na Mwelekeo wa mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjni Dodoma Juni 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza,(kushoto) na Mbunge wa Bariadi Magharibi, John Cheyo, Bungeni Mjini Dodoma Juni 11, 2015.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge Jenister Mhagama akiteta na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilila, Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (kulia) Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe (wapili Kulia), Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili (wapili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: