Wednesday, June 10, 2015

January Makamba achukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais 2015

MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.


































January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu.Kulis ni Mkewe mh. January Makamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.


No comments: