Wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Maua Seminary wakiimba wimbo wa taifa wakati wa mahafali ya kuhitimu kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo. |
Wahitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Maua Seminari. |
Mkuu wa shule ya sekondari Maua seminari ,Erastus Tesha akizungumza katika mahafali ya 33 kwa wahitimu wa kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo. |
Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wa kuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo pamoja na wageni waalikwa . |
Baadhi ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya mahafali ya ndugu zao wanaotarajia kuhitimu kidato cha sita katika shule ya sekondary ya Maua. |
Mbunge Mbatia akieleza mapungufu aliyoyaona katika kitabu cha sera ya elimu kilichozinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. |
Mbatia akimkabidhi mkuu wa shule ya sekondari Maua Seminary kitabu cha sera ya elimu. |
Mkuu wa shule ya sekondari ya Maua Seminari akimkabidhi Mbatia zawadi kutokana na kazi anayoifanya ya kutetea elimu ya Tanzania. |
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ,Mbunge Mbatia akitoa zawadi ya keki kwa wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita katika shule ya sekondary Maua Seminary. |
Mgeni rasmi katika mahafali ya 33 ya kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Maua,James Mbatia akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wahitimu. |
Mbunge Mbatia akiongozwa na mkuu wa shule ya sekondari ya Maua Seminary,Erastus Tesha kutembelea maeneo mbalimbali ya shule hiyo. |
Baadhi ya majengo yaliyopo katika shule ya sekondary Maua Seminary. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment