Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akizungumza jambo mara baada ya kupatiwa maelezo toka kwa kaimu mkurugenzi wa MUWSA ,Mhandisi Patrick Kibasa. |
DC Makunga akitia saini katika kitabu cha wageni katika moja ya yanzi vya maji aliyotembelea. |
DC Makunga akisikiliza kwa makini maelezo toka kwa Kamimu mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa alipotembelea chanzo cha maji cha Longuo. |
Tanki la kuhifadhi maji katika chanzo cha maji cha Longuo. |
Chanzo cha Maji cha Shiri |
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa MUWSA ,Sharry Raymond akieleza jambo wakati wa ziara ya mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipotembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo. |
Dc Makunga akishauri jambo mara baada ya kutembelea chanzo cha maji cha Shiri. |
DC Makunga akiendelea na ziara katika yanzo vingine. |
Sehemu ya matibabu ya maji katika chanzo cha maji cha Tsere. |
DC Makunga akitembelea tanki la maji la Kilimanjaro. |
Mhandisi Kibasa akitoa maelezo katika eneo la tanki la Maji la Kilimanjaro. |
DC Makunga akopatiwa maelezo katika eneo la maji taka namna ambavyo maji hayo yanaweza kutumika tena na wakulima wa mpunga katika eneo la Mabogini. |
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa MUWSA,Sharry Raymond akimuonesha DC Makunga sehemu ya mabwawa ya maji taka. |
Mabwawa ya maji taka. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment