Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison
Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha
mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya
Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo
yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda
nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison
Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri
toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa
na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini
Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
wakiwa pichani.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe
akizungumza na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya
kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison
Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na
meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika
mauaji ya Kimbari.
Bendera za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti nje ya ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Salaam, kuashiria tukio la kuwakumbuka raia
wa Rwanda waliouwawa mauaji ya kimbari.
Ofisa Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR),
Sarah Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya
mauaji ya Kimbari.[/caption]
[caption id="attachment_56475" align="aligncenter" width="800"]
Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo
yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda
nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa
pichani.
Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Stella Vuzo akitoa
salamu za shukrani kwa wageni waalikwa kwenye Maazimisho ya Miaka 21 ya
kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wageni waalikwa akitia saini katika daftari la wageni waalikwa
katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura (kushoto)
akimkaribisha Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez katika Maazimisho ya
Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Bi. Usia Nkhoma
akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya
Kimbari.
Mwakilishi toka Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania, Lambert Sano
akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya
Kimbari.
Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo
yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda
nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment