Saturday, March 7, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki wa stesheni hiyo Bw. Saidi Salim Bakhressa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo Mkuu wa Azam TV Bw. Mehboub al Hadad juu ya namna gari la kurusha matangazo nje ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbali mbali za Azam TV na mwenyeji wao Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Bakhressa Group, Bw. Saidi Salim Bakhressa alipowasili kwa sherehe za uzinduzi wa studio mpya za kisasa za Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam. Katikati yao ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
 Rais Kikwete akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Azam TV Bw. Yusuf Bakhressa
  Rais Kikwete akisalimiana na Mtendaji wa Azam Media Bw. Omar  Bakhressa

 Rais Kikwete akisalimiana na Meneja wa Bakhressa Group Bw. Aziz
 Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni
 Rais Kikwete akioneshwa ratiba ya sherehe na Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
 Rais Kikwete akitembezwa maeneo mbalimbali ya studio za Azam TV
 Rais Kikwete akipata maelekezo katika chumba cha  kuhariri vipindi na kuchanganya picha
 Rais Kikwete akipata maelekezo katika chumba cha kuhariri vipindi na kuchanganya picha
 Rais Kikwete akiongea na wafanyakazi wa Azam TV 
 Bwana Mwabulambo hana Wasiwasi na mtangazaji mwenzie  wa hapo studio
 Watangazaji vijana na machachari kabisa wa Azam TV
 Wasoma habari mahiri wa Azam TV
 Azam TV imesheheni vijana 
 Rais Kikwete akikaribishwa ndani ya Studio na CEO wa Azam TV Bw. Yusuf Bakhressa
 Rais Kikwete akifanyiwa mahojiano na Bw. Dustan Tido Mhando
 Rais Kikwete akifafanua jambo
 Rais Kikwete akielezwa jambo kabla ya kuzindua rasmi studio za Azam TV
 Rais Kikwete akitamka kuzindua rasmi studio za Azam TV akiwa na mwenyeji wake Bw. Said Salim Bakhressa.
 Rais Kikwete akifurahia zawadi ya picha yake  
 Rais Kikwete akiongea na Yusuf na Omar Bakhressa
 Rais Kikwete katika picha na baadhi ya wana familia ya Bahkressa  
 Picha na viongozi watendaji wa Azam TV
 Picha na wafanyakazi wa Azam TV
 Picha na waandishi, watangazaji, wapiga picha na wahariri wa Azam TV
Picha na viongozi toka vyombo mbalimbali vya habari walioalikwa
  Picha na waandishi, watangazaji, wapiga picha na wahariri wa Azam TV
 Mdau Adam Gille akijaribu kamera ya kisasa ya Azam TV 
 Mmoja wa wapiga picha mahiri wa Azam TV
 Burudani
 Meza kuu
 MC Taji Liundi akiwa kazini
 Zifuatazo ni taswira za wageni waalikwa


 Mweka hazina wa Tanzania Blogger Association Bi Shamim Mwasha (njano kulia) na Mjasiriamali na mwanamitindo Khadija Mwanamboka walikuwepo


1 comment:

Anonymous said...

MA SHA ALLAH, KILA LA KHERI BWANA SAID SALUM BAHARESA, KWA KUTENGENEZA AJIRA NYINGI KWA WATANZANIA