Kaimu Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Uchumi na Biashara ya Madini, Aloyce Tesha (Kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (Kushoto) kuhusu utendaji kazi katika sekta hiyo. Naibu Waziri Kitwanga aliwatembelea Watumishi wa Idara ya Madini kuzungumza nao na kukagua utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (wa kwanza Kulia), akifafanua jambo kwa Viongozi wa Idara ya Madini alipokutana nao kujadili utendaji kazi katika sekta hiyo. Naibu Waziri Kitwanga aliwatembelea Watumishi wa Idara ya Madini kuzungumza nao na kukagua utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (Katikati) akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Madini alipowatembelea kujionea utendaji kazi katika Idara hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini) (wa tatu kutoka Kushoto), akimsikiliza Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji Madini mdogo, Julius Sarota (wa pili kutoka Kushoto), akitoa maelezo kuhusu utendaji kazi wa sekta hiyo pamoja na kuwatambulisha baadhi ya watumishi wa sekta husika. Naibu Waziri Kitwanga aliwatembelea Watumishi wa Idara ya Madini kuzungumza nao na kukagua utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini) (wa pili kutoka Kushoto) akimweleza jambo Kamishna Msaidizi wa Madini anayesimamia Uratibu kazi za Madini, John Shija (wa kwanza Kushoto), alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni kukagua utendaji kazi wa Sehemu hiyo na Idara husika. Wengine pichani ni Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji Madini mdogo, Julius Sarota (Kulia) na Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Baruti, Mhandisi Oforo Ngowi (wa pili kutoka Kulia).
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga akitia saini Kitabu cha Wageni cha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao. Anayeshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Mhandisi Edwin Ngonyani.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (wa kwanza Kulia). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (aliyesimama), akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani), aliyewatembelea hivi karibuni kuzungumza nao na kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (aliyesimama), akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), (Katikati) akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), alipowatembelea hivi karibuni kuzungumza nao na kujionea utendaji kazi wao.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Issa Mtuwa (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja wa watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Justin Henry Kasanga (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja wa watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mohamed Omari Kaunya (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Shirika hilo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Makao Makuu ya STAMICO hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Mashariki, Getty Masawe (wa pili kutoka Kulia), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), (wa pili kutoka Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mhandisi Migodi wa Ofisi ya Madini, Kanda ya Mashariki, Joseph Ng’itu (katikati), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (wa kwanza Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Mashariki, Getty Masawe (wa pili kutoka Kulia), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), (wa pili kutoka Kushoto). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga, akisaini Kitabu cha Wageni alipofika katika Ofisi za Madini, Kanda ya Mashariki. Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga akisaini Kitabu cha Wageni katika Ofisi za Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao. Anayeshuhudia ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Elikana Petro.
Wafanyakazi wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani) aliyetembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Kuendeleza Uchimbaji Madini Mdogo, Julius Sarota (aliyesimama) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Wafanyakazi wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani) aliyetembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Omar Sige (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji utendaji kazi wa Wakala huo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (Kushoto), akijibu swali la mmoja wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Omar Sige (aliyesimama). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Michael Kambi (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji utendaji kazi wa Wakala huo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
Mmoja wa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Mvumilwa Mwarabu (aliyesimama), akitoa maoni kuhusu uboreshaji utendaji kazi wa Wakala huo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (hayupo pichani). Naibu Waziri Kitwanga alitembelea Ofisi hizo hivi karibuni kuzungumza na wafanyakazi na kujionea utendaji kazi wao.
No comments:
Post a Comment