Wajumbe wa kamati hiyo Mh ,Tahuida Nyambo na Yahya Issa wakitizama vitabu ,pembeni kulia ni katibu msaidizi wa kamati hiyo Waziri Kizingiti. |
Mjumbe wa kamati ya LAAC,Dastan Mkapa akiwa na Katibu wa kamati hiyo,Dickson Bisire wakifutilia hotuba ya mwenyekiti wa kamati hiyo. |
Wajumbe wa kamati ya LAAC,Mh Agustino Masele pamojan na Mh Menrad Kigola wakifuatilia kwa makini hoja zilizokuwa zikitolewa wakati wa kika hicho na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu. |
Watendaji wa serikali kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha wakifuatilia jambo katika kikao hicho. |
Baadhi ya watumishi wa Halamshauri ya wilaya ya Karatu wakiwa katika kikao hicho. |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu,Lazaro Titus akiongozana na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa kwenda kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo. |
Mwenyekiti akikagua jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee ambacho kinatajwa majengo yake kujengwa chini ya kiwango. |
Hili ndio jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee kama linavyoonekana sehemu ya Paa lake likiwa tayari limebinyea. |
Baadhi ya wananchi walipata fursa ya kutoa madukuduku yao kwa kamati juu ya ujenzi wa Chuo hicho. |
Mbunge wa jimbo la Karatu ,Mch Izrael Natse pia akjazia neno katika eneo la Chuo hicho. |
Jicho la kamati likaona nyufa za kutosha katika jengo hilo kama anavyoonesha mwenyekiti wa kamati hiyo Azza Hamad. |
Maeneo mengine ikabainika kuwa ndiyo yalijengwa siku hiyo wakati kamati inaenda tembelea. |
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa baahi ya maeneo. |
Wajumbe wa kamati wakitizama sehemu ya Paa la jengo hilo. |
Kmati ikakagua Hostel ya wananfunzi ambayo licha ya kukutana na kizuizi cha nyuki bado kamati ilibaini kuwa jengo hilo limejengwa chini ya kiwango pia. |
Kamati ikaelekea kukagua majengo mengine ya chuo hicho. |
Hali ilikuwa ni ile ile. |
ya Jamii Knada ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment