| Wanafamilia wa Azania Bank tawi la Moshi wakichukua chakula. |
| Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi na familia zao wakifurahia msosi wa usiku ulioandaliwa kwa ajili yao. |
| Ukafika wakati wa kufungua Champegne, |
| Champegne ikagawiwa kwa kila aliyekuwa ukumbini. |
| Zikagongwa Cheers kwa waalikwa wote ,akiwemo mwakilishi wa Globu ya Jamii Knda ya Kaskazini akiwa ni mdau wa benki hiyo. |
| Keki maalumu kwa ajili ya wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi na familia zao . |
| Keki ikatolewa kwa wawakishi wa makundi yaliyokuwa yamewakilisha katika tafrija hiyo. |
| Azania Bank ikatoa vyeti kwa wafanyakazi wa tawi hil kwa mchango wao waliouonyesha katika kufikia mafanikio katika kipindi cha mwaka 2014/2015. |
| Wafanyakazi wote wa Azania Bank tawi la Moshi wakapata nafasi ya picha ya pamoja wakiwa na vyeti vyao. |
| Na badae likafuata neno toka kwa Meneja wa tawi hilo,Hajira Mmambe . |
| Watoto wa watumishi wa Azania Bank tawi la Moshi wakiwa katika picha ya Pamoja, |
No comments:
Post a Comment