Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya mtandao (Online) wa Bayport Financial Services, Zainabu Kalufya, katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao kwa www.kopabayport.co.tz, uzinduzi uliofanyika leo Makao Makuu ya Bayport, jijini Dar es Salaam. Picha kwa Hisani ya Bayport.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial Services, yenye Makao Makuu
yake jijini Dar es Salaam, Tanzania, imezindua tovuti yake ya www.kopabayport.co.tz, itakayowezesha
wateja wake kupata mikopo ya haraka na kwa njia rahisi.
Kwa kupitia tovuti hiyo, watu mbalimbali wanaweza kupata huduma za
Bayport, sanjari na kupata mkopo ndani ya saa 24 baada ya kuidhinishwa, huku akijibiwa
ombi lake la mkopo, ndani ya masaa mawili tangu alipojisajiri kwa mara ya
kwanza.
Akizungumzia huduma hiyo mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam leo mchana, Meneja Masoko na Mawasiliano
wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, alisema kwamba huduma hiyo sasa itawawezesha
wateja wao kukopa mahala popote atakapokuwa, tofauti na awali.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services kitengo cha Huduma kwa Wateja, wakiwajibika wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao onlinewww.kopabayport.co.tz, jijini Dar es Salaam leo.
Alisema kuwa lengo la uanzisha kwa tovuti hiyo ya www.kopabayport.co.tz ni kutokana
na kuweka sera ya mikakati ya kuwapatia huduma hiyo watu wengi iliwaweze kukopa
na kujikwamua kiuchumi, ikiwa ni maalum kwa watumishi wa umma na wafanyakazi wa
kampuni zilizoidhinishwa na Bayport.
“Bayport sasa imezidi kupiga hatua, kwa sababu mteja wetu hata
kama akiwa nyumbani kwake, kwa kupitia huduma yetu hii anaweza kujisajiri na kukopeshwa
anachokihitaji kutoka kwetu bila kupata usumbufu wa aina yoyote.
“Hayani mambo mazuri na naamini ni wakati wa wateja wetu na Watanzania
wote kuendelea kuchangamkia huduma zetu za mikopo, ukizingatia ni Bayport pekee
inayoweza kukupatia mkopo wa Chagua chochote Bayport italipia, Bima ya Elimu ya
Uwapendao, mikopo ya fedha na mingineyo muhimu,” alisema Cheyo.
Naye Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha kutoka Bodi ya
Michezo ya Kubahatisha, Mrisho Millao, alisema utaratibu wa kukopa kwa njia ya
Internet kutoka Bayport ni mzuri na utarahisisha upatikanaji wa huduma bora kwa
wateja wao na Watanzania kwa ujumla.
“Nimeangalia ni mfumo mzuri na rahisi kwa mteja wa Bayport
kupata mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao huku ukiwa katika lugha mbili za Kiswahili
na Kingereza,” alisema Millao.
Kwa mujibu wa Cheyo, hiyo ni njia rahisi na ya haraka mno inayomuwezesha
kumpatia mkopo mteja wao, bila kusumbuka kwenda kwenye tawi kuanza taratibu za kujiunganisha
kwenye huduma za mikopo ya taasisi yao.
Ili mtu aweze kuingia kwenye huduma hiyo, atalazimika kutumia
simu yake ya mkononi yenye uwezo wa internet bila kusahau kompyuta, ikiwa hatua
rahisi za kumpatia mkopo huo mteja, huku Cheyo akitumia muda huo kuwataka wateja
wao na Watanzania kuiunga mkono Bayport ili kujikwamua kiuchumi kutokana na huduma
zao za mikopo isiyokuwa na dhamana wala amana.
2 comments:
Haraka LOAN Offer KUOMBA. sASA
Ndugu waombaji kwa ajili ya mikopo. Sisi ni kuthibitishwa mkopo Taasisi ili kutoa mkopo kwa watu ambao ni katika haja ya loans.We kutoa mikopo kwa madhumuni ya uwekezaji biashara, kodi, madeni, bili, nk Kwa kiwango cha 2% riba. Je, unataka kuanza biashara na unahitaji mtaji? msaada wako ni hatimaye hapa. Tutaweza kukupa mikopo yote kwa kiasi cha bei nafuu na kupatikana kiwango cha 2% tu. Tafadhali wasiliana nasi leo kupitia (assureduniversalloan@gmail.com) Sisi ni kuthibitishwa, kuaminika, kuaminika na ufanisi.
THANKS.
Uhakika UNIVERSAL LOAN
Hello,
Salamu kwa jina la bwana. Jina langu ni Miss Taylor Shaw, Nina umri wa miaka 25, nina kutoka Marekani (U.S.A.), I am daugther tu wa marehemu Mr / Mrs. Shaw.
Sina jamaa wowote kuanzia sasa kwamba naweza kwenda, kwa sababu i kushoto nchi yangu katika umri mdogo sana kukaa katika africa, Nigeria just kukaa na mama yangu ambaye anaongoza vituo vya gesi baba yangu katika nigeria
Wazazi wangu mwenyewe vituo 12 gesi hapa nchini Nigeria ambayo serikali imekusanya yao kutoka kwangu kutokana na kumalizika leseni na yasiyo remitter ya malipo ya kodi.
Nataka kwenda nyuma ya masomo yangu kwa sababu mimi tu walihudhuria mwaka wangu wa kwanza katika chuo kikuu kabla ya tukio la kusikitisha kilichotokea.
Mimi nilikuwa kuwasiliana na Union Bank london plc kwamba kiasi kikubwa cha fedha ilikuwa zilizoingia katika benki ambayo i alikuwa na jina saini kwa akaunti, jina langu ilitumika kama pili ya jamaa.
kiasi katika swali ni 4000000000 $ (sisi dola), benki alinijulisha leo.
Lakini meneja wa benki aliniambia kuwa kabla i wanaweza kupata fedha hii kutoka benki, i watakuwa na kununua mabadiliko ya cheti umiliki ambayo gharama $ 2,500 dola na i hawana kiasi hicho pamoja nami.
Hivyo l kama wewe kusaidia mimi kuhamisha fedha hii kwa akaunti yako na kutoka humo utakuwa kuchukua kiasi cha 40% basi utakuwa kutuma iliyobaki 60% ya fedha kwa taarifa za akaunti aliyopewa na wewe.
Ninawapa ninyi kutoa hii kwa sababu i hawana nyingine yoyote chaguo kushoto.
Regards
Miss Taylor Shaw
taylorshaw213@gmail.com
Post a Comment