Mwakilishi
wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara
ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa
kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni
Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Mwakilishi
wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na
Misitu, Mohammed Dimwa akimshukuru Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu
baada ya kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na TBL, katika Jimbo
hilo. Hafla hiyo Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae na Naibu Waziri wa Uvuvi na Misitu, Said Mohammed Dimwa akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar baada ya uzinduzi wa kisima cha maji kilichochimbwa jimbo humo kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Kisima hicho kilizinduliwa mwishoni mwa wiki.

Wageni
waalikwa wakinywa maji baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae,
Mohammed Dimwa kuzindua kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na
Kampuni ya Tanzania (TBL), katika Jimbo hilo. Hafla hiyo ilifanyika
Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment