Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga. |
Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo. |
Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia
jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe
Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi
huo. |
Eneo la mradi mkubwa wa maji utakao saidia upatikanaji wa maji katika wilaya za Mwanga,Same na Korogwe . |
Eneo la Bwawa la Nyumba ya Mungu ambalo linatazamiwa kuwekwa mitambo kwa ajili ya uvutaji maji |
Maeneo mbalimbali amabyo yanatazamiwa kufungwa mashine za kuvuta maji,matanki ya kuhifadhia pamoja na matanki ya dawa kwa ajili ya matibabu ya maji yanatazamiwa kuwekwa. |
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu Ndemanga akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa maji Amosi Makala kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Kirya katika eneo la Njia Panda ulipo mradi huo. |
Baadhi ya wafanyakazi katka mradi huo wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Mwanga ,Ndemanga. |
Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Kirya. |
Naibu Waziri wa maji Amosi Makala akizungumza katika mkutano wake na wananchi wa Kijiji cha Kirya wilayani Mwanga . |
Baadhi ya viongozi walioambatana na Naibu
waziri wa maji,Amosi Makala wakati wa ziara yake kutembelea katika
eneo hilo kujionea maenedeleo ya ujenzi wa mradi. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Moshi.
No comments:
Post a Comment