Sunday, January 11, 2015

Ratiba za Kamati za BUNGE January 2015

 KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015

UKUMBI: SAMUEL SITTA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015

Kuwasili Dar es salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015

Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
·         Wajumbe

·         Sekretarieti
Jumatano
14 Januari, 2015
·         Kupokea na kujadili taarifa  ya utekelezaji wa mradi wa viwanja 20,000 Dar es Salaam

·         Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji kuhusu makabidhiano ya eneo la mradi wa mji wa Luguruni kati ya NHC na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

·         Wajumbe


·         Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

·         NHC
Alhamisi
15 Januari, 2015
·         Kupokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa mradi wa pamoja wa JWTZ na NHC kuhusu uendelezaji wa makazi na sehemu za biashara katika eneo la Msasani.
·         Wajumbe

·         Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·         Wizara ya Ulinzi
·         NHC
·         JWTZ
Ijumaa
16 Januari, 2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu utatuzi wa mgogoro wa mipaka kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kijiji cha Kakesio na kijiji kilichopo katika wilaya ya Meatu.
·         Wajumbe

·         Wizara ya Maliasili na Utalii

·         NCAA
Jumamosi na
Jumapili
17 – 18 Januari, 2015

MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

WOTE
Jumatatu
19 Januari, 2015

·         Kupokea Taarifa ya utatuzi wa mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan na Kampuni ya EKO Energy.

·         Kupokea taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu mgogoro wa mipaka katika msitu wa hifadhi Kazimzumbwi.


·         Wajumbe

·         Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

·         Wizara ya Maliasili na Utalii
Jumanne
20 Januari, 2015

Kupokea taarifa kuhusu mgogoro wa Mipaka katika Pori la Akiba la Mkungunero na Changamoto zake
·         Wajumbe
·         Wizara ya Maliasili na Utalii
·         Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Jumatano
21 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Alhamisi
22 Januari, 2015
Kikao cha pamoja kati ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Nishati na Madini pamoja na Wizara za Nishati na Madini na Maliasili na Utalii kuhusu utatuzi wa tatizo la uchimbaji madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Maliasili na Utalii
·         Wizara ya Nishati na Madini

Ijumaa
23 Januari, 2015
Kukamilisha rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumamosi na Jumapili
24 – 25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI:
·   Vikao vitaanza  saa  3:00   Asubuhi
·   Chai  saa   4:30  Asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 04 HADI 23 JANUARI 2015

UKUMBI-MKWAWA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumapili
4/1/2015
Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumatatu
5 /1/ 2015

Shughuli za Utawala na kupitia ratiba

·         Sekretarieti
·         Wajumbe
Jumanne
6 /1/ 2015
Kubadilishana uzoefu wa masuala mahsusi yatokanayo na ziara za mafunzo ya Kamati Norway, Uingereza na Netherlands
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
 7 /1/ 2015
Kuchambua Muswada wa Bajeti
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·         Mshauri Mkuu wa Sheria wa Bunge
Alhamisi
8/1/ 2015
Kuchambua Muswada wa Bajeti
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·         Mshauri Mkuu wa Sheria wa Bunge
Ijumaa
9/1/ 2015
·         Kutembelea Bandari ya Dar es Salaam kujifunza namna shughuli za TRA zinavyotekelezwa

·         Kutembelea Eneo la Mradi wa Kurasini Logistics Centre
·         Wizara ya fedha




·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         Mkurugenzi Mkuu- EPZA
Jumamosi na Jumapili
10 - 11/1/2015

MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

WOTE
Jumatatu
12    /1/ 2015
MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA  MAPINDUZI
WOTE
Jumanne
13/1/2015
·         Kukutana na washirika wa Maendeleo wa Mfuko wa GBS

·         Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya;
o   Umeme Vijijini

·         Wajumbe
·         GBS


·         Waziri wa Nishati na Madini
·         Mkurugenzi Mkuu REA
·         Wizara ya Fedha

Jumatano 14/1/2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya;
·         Maji
·         Barabara
·         Waziri wa Maji
·         Waziri wa Ujenzi
·         Mwenyekiti- Mfuko wa Barabara
·         Wizara ya Fedha
Alhamisi 15/1/2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya;
·         Uchukuzi
·         TAMISEMI
·         Waziri wa Uchukuzi
·         Waziri- TAMISEMI
·         Wizara ya Fedha
Ijumaa 16/1/2015
·         Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo mpaka kufikia Novemba, 2014;
·         Kupata mrejesho wa maoni ya Wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo
·         Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
·         Katibu Mtendaji- Tume ya Mipango
Jumamosi 17/1/2015
·         Kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti Mpaka kufikia Desemba 31, 2014
o   Makusanyo
o   Mgawanyo wa Fedha.

·         Kupata mrejesho kutoka kwa walipa kodi kuhusu mwenendo wa kodi mbalimbali



·         Waziri wa Fedha







·         TPSF
Jumapili 18/1/2015

MAPUMZIKO

WOTE
Jumatatu 19/1/2015
·                  Serikali kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Bajeti;
·                  Kusikiliza maoni ya wadau kuhusu muswada wa bajeti
·         Waziri wa Fedha
·         Wadau
·         Wajumbe

Jumanne 20/1/2015
Kusikiliza maoni ya wadau kuhusu muswada wa bajeti
·         Wadau
·         Wajumbe
·         Wizara ya Fedha
·          
Jumatano 21/1/2015
Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti
·         Wajumbe
·         Waziri wa Fedha

Alhamisi 22/1/2015
Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti
·         Sekretarieti
·         Wajumbe


Ijumaa 23/1/2015
o   Kamati kupitia rasimu ya taarifa yake ya mwaka;
o   Kamati kupitia rasimu ya taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Bajeti
·         Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

Jumamosi na Jumapili
24 – 25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

           KAMATI YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
 KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015

UKUMBI:  MIKUMI - MWALIMU NYERERE
SIKU/TAREHE
SHUGHULI

MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano
14 Januari, 2015
Kupokea maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali The Written Laws (Miscellaneous Amendments Act, 2014)
·      Wajumbe
·      Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Alhamisi
15 Januari, 2015
Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014):-

·      Wajumbe
·      Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·      Mhe. Athuman S. Janguo
·      Mhe. Arcado D. Ntagazwa
·      Tanganyika Law
     Society(TLS)
·         Tanzania Retired Judges Association (TARJA)
·         Legal And Human Rights Center (LHRC)
·         Shule ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM)
·         Tanzania Women
 Lawyers Association (TAWLA)
      Ijumaa
16 Januari, 2015
Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014:-


·      Wajumbe
·      Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·      Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA)
·      DUMT
·      ANNAL HL
·      Islamic Propagation Centre(IPC)
·      Baraza la Sunna Tanzania (BASUTA)
·      Baraza Kuu la Jumuia na Taasisi za Kiislam
·      Jamaat Ansaar Sunna Tanzania
·      Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)
·      CPCT
·      Baraza la Maaskofu Tanzania(TEC)
·      Shura ya Maimam Tanzania
·      Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania
·      Baraza la Makanisa ya Kipentekosti Tanzania (BMKT)
·      Mwakilishi wa Kanisa la Wasabato (SDA)
Jumamosi&Jumapili
17-18 Januari 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI


Jumatatu
    19 Januari, 2015
·         Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014,
·         Majumuiyo ya Maoni ya Wadau ili kupata maoni ya Kamati

·      Wajumbe
·      Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·      Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA)
·      Prof. Abdallah Safari
·      Prof.Hamoud Majamba
·      Jaji RoberT
·      Makaramba
·      Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)
·      Prof. Paramagamba Kabudi
·      Hay Atul Ulamaa
Tanzania Ithnasharia Community (TIC)
Jumanne 
20 Januari,2015
Kujadili Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa (The Disaster Management) Act, 2014


·      Wajumbe
·      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge
·      Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·      Tanganyika Law Society(TLS)
·      Tanzania Retired Judges Association (TARJA)
·      Legal And Human Rights Center (LHRC)
·      Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM)
·      Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA)
·      NOLA
·      Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)
·      Shule ya Sheria( zamani Kitivo cha Sheria) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
·      Tanzania Women Gender Networking Program (TGNP)
Jumatano
21 Januari, 2015
·      Kufanya majumuisho ya maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa
·      Kuandaa taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa ( The Disaster Management) Act, 2014

·         Wajumbe
·         Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge
·         Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Alhamisi
22 Januari, 2015
Kuandaa taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa wa mwaka 2014
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Ijumaa
23 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumamosi na Jumapili
24 &25 Januari,2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

 KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI

KUANZIA TAREHE 12 HADI 25 JANUARI, 2015

UKUMBI:   COUNCEL CHAMBER - KARIMJEE
SIKU/TAREHE
SHUGHULI

MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
Kuwasili Dar es salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015

Shughuli za Utawala na kupitia ratiba


·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano na Alhamisi
14 – 15 Januari, 2015

Kikao cha pamoja na Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara ili kujadili Muswada  wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani 2014 (The Warehouse Receipts (Amendment) Act, 2014) kwa kushirikiana na Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara
·      Wajumbe
·      Waziri wa Viwanda na Biashara
·      Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
·      Wadau
·      Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ijumaa
16 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya Taarifa ya Mwaka ya Utekelezaji wa Shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 - Januari 2015
·      Wajumbe

Jumamosi
17 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI      
WOTE
Jumapili
18 – 23 Januari, 2015
*Ziara ya Mafunzo katika nchi za India na Netherland
Katibu wa Bunge


Jumamosi
24 Januari, 2015
Kurejea Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumapili
25 Januar,i 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

* Ziara hii itategemea upatikanaji wa fedha

TANBIHI
  • Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
  • Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
  • Tarehe 14 – 15 vikao vitafanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere

 KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI  
KUANZIA TAREHE 4 – 25 JANUARI, 2015
RATIBA YA KAMATI NDOGO A
UKUMBI:  AUSTINI SHAABA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumapili
4 Januari, 2015
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge

Jumatatu
5 Januari, 2015
·         Shughuli za Utawala na kupitia ratiba

·         Majadiliano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kuhusu Mwenendo wa Halmashauri katika kutekeleza Hoja za Ukaguzi, hususani Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na Manispaa ya Kinondoni kwa mujibu wa matokeo ya Kaguzi Maalum zilizofanyika katika Halmashauri hizo.


  • Wajumbe
  • RAS
  • Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Halmashauri husika





Jumanne
6 Januari, 2015
Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo katika H/ Manispaa ya Temeke

Jumatano
7 Januari, 2015
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa ya Kinondoni

Alhamisi
8 Januari, 2015
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa ya Ilala
Ijumaa
9 Januari, 2015

Tadhimini ya shughuli zilizofanyika wiki ya kwanza
Wajumbe
Jumamosi na Jumapili
10 -11 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
WOTE



Jumatatu
12 Januari, 2015
SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
·         Wajumbe
·         RAS
·         Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali







·         TAMISEMI
·         Wizara ya Fedha
·         Halmashauri husika





















Jumanne
13 Januari, 2015
Ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika H/Jiji la Dar es Salaam
Jumatano
14 Januari, 2015
Majadiliano kati ya Kamati na Mameya wa Manispaa ya Temeke, Ilala, Kinondoni na Jiji la Dar es Salaam na OWM- TAMISEMI kuhusu hali halisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali na
nidhamu ya matumizi ya fedha za umma katika maeneo yao-
(Kikao kufanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam)
Alhamisi
15 Januari, 2015
Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W Ngorongoro na H/W Karatu
Ijumaa
16/01/2015

Kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Geita na Rorya

Jumamosi na
Jumapili
17 – 18 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

Jumatatu
19 Januari, 2015
Kujadili Taarifa ya Hesabu za Manispaa ya Bukoba

Jumanne
20 Januari, 2015
Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya ya Kasulu

Jumatano
21 Januari, 2015
Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya Kwimba
Alhamisi na Ijumaa
22 – 23 Januari 2015
Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha mwaka 2014/2015
Jumamosi na
Jumapili
24 –25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge







KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA YA KAMATI NDOGO B (Wajumbe Watano)
ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI MAENDELEO MKOANI RUKWA  NA BAADAE VIKAO VYA KAMATI JIJINI DAR ES SALAAM
TAREHE
SHUGHULI
Jumapili
4 Januari, 2015
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
Jumatatu
5 Januari, 2015
Shughuli za kiutawala na Maelezo ya Sekretarieti kuhusu shughuli zitakazotekelezwa na Kamati
Jumanne
6 Januari, 2015
Wajumbe kuelekea Sumbawanga kwa gari
Jumatano
7 Januari, 2015
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya  Sumbawanga
Alhamisi
8 Januari, 2015
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/ W ya Nkasi
Ijumaa
9 Januari, 2015
Wajumbe kuelekea Sumbawanga Mjini
Jumamosi na Jumapili
10 -11 Januari, 2015
SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Jumatatu
12 Januari, 2015
MAJUMUISHO- OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA
Jumanne
13 Januari, 2015
Wajumbe kurejea Dar es Salaam
Jumatano
14 Januari, 2015
Wajumbe kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa  za H/W ya Kilosa na H/W ya Mkinga
Alhamisi
15 Januari, 2015
Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Ukerewe
Ijumaa
16/01/2015
Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Mpanda na H/M wa Mpanda
Jumamosi na
Jumapili
17 – 18 Januari, 2015
Kuandaa taarifa ya kazi zilizotekelezwa na Kamati ndogo
Jumatatu
19 Januari, 2015
Maandalizi ya taarifa ya mwaka ya majukumu yaliyotekelezwa na LAAC kufuatia taarifa ya ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha wa 2012/2013.
 KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI

KUANZIA TAREHE 12 JANUARI – 25 JANUARI, 2015

UKUMBI:  RUAHA – M/NYERERE
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
Kuwasili Dar es Salam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13   Januari, 2015
·   Shughuli za utawala na kupitia ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano - Alhamisi
14 – 15 Januari, 2015
Kupokea maelezo ya Serikali na maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria  ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014)
·      Wajumbe
·      Wadau
·      Wizara ya Kazi na Ajira
·      Assocition Tanzania Employees (ATE)
·      Tanzania Private Sector Foundation (TPSF)
·      Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA)
·      Attorney General (AG)
·      Tanzania Union of Private Security Employees (TUPSE)
Ijumaa
16 Januari, 2015

Kuchambua na kupitia maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014)
Wajumbe

Jumamosi 17Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
WOTE
Jumapili
18 Januari, 2015
Kutembelea Uwanja wa Taifa na kukagua ufanisi wa mashine za kukatia tiketi za  ki - eletroniki (Electrical Machine Devices)
·      Wajumbe
·      Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Jumatatu
19Januari, 2015

kujadili ufanisi na matumizi ya mashine za ki eletroniki.

·       Wajumbe
·      Wadau
·      Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na michezo
  • Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
  • Tanzania Football Federation (TFF)
  • CRDB Bank
  • Viongozi wa Vilabu
·         Bodi ya Ligi yaTaifa
·         VODACOM (wadhamini wa ligi)
  • Tanzania Breweries Limited(TBL) – Wadhamini wa Timu ya Taifa
Jumanne
20 Januari, 2015
Majumuisho ya Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014)
  • Wajumbe
  • Sekretarieti

Jumatano
21Januari, 2015

Kupitia Rasimu ya Taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014)
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Alhamisi
22 Januari, 2015

Kupitia sehemu ya tatu ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments)(No.2)ACT,2014 inayohusu Amendment of the Employment and Labour Relation Act,(CAP.366):-


·      Wajumbe
·      Attorney General (AG
·      Wadau:
*      Tanzania Private Sector Foundation(TPSF)
*      Association of Tanzania Employers (ATE)
*      Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA)
*      Tanzania Union of Private Security Employees (TUPSE)
Ijumaa
23 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya Taarifa ya Kamati ya mwaka 2014/2015
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumamosi na Jumapili
24  - 25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI
Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi
Chai saa 4:30  asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 23 JANUARI, 2015
UKUMBI WA MSEKWA (203)
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015

Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
§  Wajumbe
§  Sekeretarieti
Jumatano na Alhamisi
14 -  15 Januari, 2015
Kikao cha Pamoja na Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili kupokea maelezo ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54,  wa mwaka 2014,
·         Wajumbe
·         Wajumbe Kamati ya Ulinzi na Usalama
·         Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·         Wadau

Ijumaa
16 Januari, 2015
Kupokea taarifa ya utekelezaji ya majukumu ya  Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kipindi cha Julai – Disemba 2014

·         Wajumbe
·         Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Jumamosi  na Jumapili
17 –18 Januari, 2015

MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
            WOTE



Jumatatu
19 Januari, 2015
§  Kupokea taarifa ya  Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali  za Balozi za Tanzania  Ulaya, Amerika, Asia na Afrika

§  Kupokea taarifa kuhusu hatua iliyofikiwa katika Maandalizi ya Sera ya Taifa kuhusu  Utangamano wa SADC na Afrika Mashariki

·   Wajumbe
·   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa


Jumanne
20 Januari, 2015
§  Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za International Parliamentary Union (IPU) kwa Mwaka 2014.  Saa 4.00 Asubuhi – 6.00 Mchana

§  Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za wawakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP) kwa Mwaka 2014. Saa 7.30 Mchana – Saa 9.30 Alasiri

·   Wajumbe
·   Wajumbe wa IPU
·   Wajumbe wa Bunge la Afrika (PAP)
Jumatano
21 Januari, 2015
§  Kupokea  taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wawakilishi wa Bunge katika Africa Carebean  Pacific and European Union (ACP-EU) kwa Mwaka 2014 Saa 4.00 Asubuhi – saa 6.00 Mchana

§  Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki( East African Legislative Assembly (EALA)) kwa Mwaka 2014 Saa 7.30 Mchana – saa 9.30 Alasiri

·         Wajumbe
·         Wajumbe wa EALA
·         Wajumbe ACP-EU
Alhamis
22 Januari, 2015
§  Kupokea  taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wajumbe wa  Bunge la SADC (Southern Africa Development Community – Parliamentary Forum (SADC -PF) kwa Mwaka 2014.  Saa 4.00 Asubuhi – Saa 6.00 Mchana

§  Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za CPA Saa 7.30 Mchana – Saa 9.30 Alasiri

·         Wajumbe
·         Wajumbe wa SADC – PF
·         Uongozi wa CPA Tanzania
Ijumaa
23 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha 2014/2015
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
J/mosi –J/pili
24 –25 Januari, 2015
Kuelekea  Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI: Vikao vyote vitaanza saa 4.00 asubuhi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015

UKUMBI: BENKI KUU YA TANZANIA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
·      Kuwasili Dar es Salaam

Jumanne
13 Januari, 2015
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumatano
14 Januari, 2015
·         Kikao cha pamoja kati ya Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Fedha kuhusu Serikali kutokutoa Fedha asilimia 17 ya gharama katika Viwanja vya Ndege vilivyo kwenye Bajeti ya Serikali
·         Kutembelea  Reli Assets Holding Company (RAHCO) na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi yake
·         Wajumbe
·         Wizara  ya Uchukuzi
·         TAA
·         RAHCO
Alhamisi
15 Januari, 2015
Kutembelea  Tanzania Railways Limited (TRL) na kupokea Taarifa ya utekelezaji wa miradi yake
·      Wajumbe
·      Wizara ya Uchukuzi
Ijumaa
16 Januari, 2015
Kutembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania na kupokea Taarifa ya Utekelezi wa Miradi yake
·      Wajumbe
·      Wizara ya Uchukuzi
Jumamosi&Jumapili
17&18 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
WOTE
Jumatatu
19 Januari, 2015
·      Kusafiri kuelekea Arusha kwa Ndege
·      Kutembelea Uwanja wa Ndege wa Arusha na kupokea taarifa ya uendeshaji wa uwanja huo
·      Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha
·         Wajumbe
·         Wizara ya Uchukuzi
·         RAS


Jumanne
20 Januari, 2015
Kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na kupokea taarifa ya uendeshaji wa Uwanja huo.
·      Wajumbe
·      Wizara ya Uchukuzi
Jumatano
21 Januari, 2015
Kutembelea Chuo Kikuu cha Sayansi cha Nelson Mandela na kupokea taarifa ya utekelezaji na utendaji wa Chuo hicho
·      Wajumbe
·      Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Alhamisi
22 Januari, 2015
Kutembelea Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania na kupokea taarifa ya utekelezaji na utendaji wa Tume hiyo.
·      Wajumbe
·      Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ijumaa
23 Januari, 2015
·       Kukagua barabara ya Arusha- Namanga
·       Kutembelea  za TEMESA – Arusha
·       Kurejea Dar es Salaam
·      Wajumbe
·      Wizara ya Ujenzi

·      Katibu wa  Bunge
Jumamosi na Jumapili
24-25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge


TANBIH:

Vikao na ziara zote zitaanza saa 3:00 Asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 -25 JANUARI, 2015

UKUMBI:  HAZINA

SIKU/TAREHE
SHUGHULI

MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretairieti

Jumatano
14 Januari, 2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu Sera mpya ya Sekta ya  Mafuta na Gesi,  pamoja na ushiriki wa wazawa katika sekta hiyo.
·      Wajumbe
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      Watendaji wakuu wa Taasisi husika.
Alhamisi
15 Januari, 2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu hali ya Migodi ya Urani iliyopo Namtumbo, na makaa ya mawe Mchuchuma, Liganga na Ngaka.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         STAMICO



Ijumaa
16 Januari, 2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu hali ya Uzalishaji na Upatikanaji wa umeme nchini na hali ya kifedha ya TANESCO kwa sasa.
·      Wajumbe
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      TANESCO
Jumamosi
17-18 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

WOTE

Jumatatu
19 Januari, 2015
·   Kupokea taarifa ya Shirika la maendeleo ya Petrol Tanzania kuhusu ushirikiano wa kibiashara na STATOIL

·      Kujadili na kutoa maoni katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014
·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         TPDC
·         STATOIL
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
20 Januari, 2015

·      Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uendeshaji wa Chuo Cha Madini, Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) na TMAA.

·      Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ufumbuzi wa matatizo ya wachimbaji wadogo nchini.   
·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         Chuo cha Madini
·         GST
·         TMAA

·         STAMICO

Jumatano
21 Januari, 2015
·      Kupokea na kujadili taarifa kuhusu tatizo la ucheleweshaji wa tozo ya Mafuta kwa ajili ya miradi ya REA.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         Wizara ya Fedha
·         EWURA
Alhamisi
22Januari, 2015
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uuzaji wa hisa 50 katika Kampuni ya Tanzanite one


·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         STAMICO
Ijumaa
23 Januari, 2015




·      Kupokea changamoto katika kusafirisha mitambo ya Kuzalisha Umeme – Kinyerezi na maeneo mengine nchini.

·      Kupitia rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 – Januari 2015
·         Wajumbe
·         Wizara ya Nishati na Madini
·         TPA
·         TRA
·         TANROADS
Jumamosi
23 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI:
·         Vikao vitaanza  saa   3:00   asubuhi.
·         Chai saa 4:30  asubuhi.

 KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI

 RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI, 2015

UKUMBI:  JUMA AKUKWETI
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumapili
4 Januari, 2015
Kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumatatu
5 Januari, 2015
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
Jumanne
6 Januari, 2015

Kuelekea Kilosa, Morogoro
·   Wajumbe
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Msajili wa Hazina
Jumatano
7 Januari, 2015
Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO iliyopo Kilosa Morogoro.
·   Wajumbe
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Msajili wa Hazina
·       Mwenyekiti - Bodi ya RAHCO
Alhamisi
8 Januari, 2015
Wajumbe kusafiri kuelekea Kilombero, Morogoro.

·   Wajumbe
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Msajili wa Hazina
·      Bodi ya RAHCO
Ijumaa
9 Januari, 2015
Ukaguzi wa Mradi wa kuiwezesha Bodi ya Sukari kupata ardhi kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa Sukari
Chanzo cha Fedha: Program ya ASDP iliyo chini ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Mahali: Ruipa, Kilombero
·   Wajumbe
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Msajili wa Hazina
·       Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Jumamosi
10 Januari, 2015
Kurejea Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumapili
11 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
Wote
Jumatatu
12 Januari, 2015
SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Jumanne
13 Januari, 2015
·         Saa 4:00 Asubuhi
Kikao cha mashauriano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali


·         Saa 8:00 Mchana
Kikao cha mashauriano na Msajili wa Hazina

·   Wajumbe
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Msajili wa Hazina
Jumatano
14 Januari, 2015
Kujadili Hesabu za:-
·         Kampuni ya Magazeti ya Serikali
·         Shirika la Utangazaji Tanzania

·   Wajumbe
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Bodi ya TSN na TBC
Alhamisi
15 Januari, 2015

Kujadili Hesabu za Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Mamlaka ya Bandari Tanzania



·   Wajumbe
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·   Bodi ya TPA
Ijumaa
16 Januari, 2015
Kujadili Hesabu za:-
·         Bodi ya Sukari Tanzania
·         Bodi ya Korosho Tanzania
·         Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rujifi (RUBADA)


·   Wajumbe
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·      Bodi ya Sukari, Bodi ya Korosho na Bodi ya RUBADA
Jumamosi na Jumapili
17-18 Januari,15
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
Wote
Jumatatu
19 Januari, 2015
Kujadili Hesabu za Mamlaka ya Mapato Tanzania




·   Wajumbe
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·   Kamishna Mkuu, TRA
Jumanne
20 Januari, 2015
·         Hesabu Jumuifu za Taifa
·         Kujadili Taarifa ya Kamati ndogo ya Hesabu za Serikali kuhusiana na Ukusanyaji mdogo wa kodi za Ardhi unaoikabili Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

·   Wajumbe
·      Mhasibu Mkuu wa Serikali
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali
Jumatano
21 Januari, 2015
Kujadili Hesabu za:-
·         Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika – FUNGU 43
·         Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)



·   Wajumbe
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·       Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (kuhudhuria kikao cha kujadili Hesabu za Fungu 43)
·      Mhasibu Mkuu wa Serikali
·      Msajili wa Hazina
·       Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali
·       Bodi ya TPDC
Alhamisi na Ijumaa
22  - 23 Januari, 2015
Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
Wajumbe

Jumamosi na Jumapili
24-25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI: 

·         Vikao vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.
·         Tarehe 13 – 23 Januari, 2015 Vikao vyote vitafanyika ukumbi wa Juma Akukweti, Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam
·         Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
·         Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·         Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni, 2013.
KAMATI YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015

UKUMBI: MAENDELEO YA JAMII
SIKU/TAREHE
SHUGHULI/MAHALI

MHUSIKA
JUMATATU
12 JANUARI, 2015
Kuwasili Dar es Salaam
·  Katibu wa Bunge
JUMANNE
13 JANUARI, 2015
Shughuli za Utawala, Ofisi ya Bunge, Dar es Salaam
·  Wajumbe
·  Sekretarieti





JUMATANO
14 JANUARI, 2015
Kundi A - Kusafiri kuelekea Mkoa wa Lindi
Kundi B – Kusafiri kuelekea Mkoa wa Kigoma
·  Wajumbe
·  Sekretarieti
·  TAMISEMI
Kundi A
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi (Courtesy Call) pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Lindi
·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RC Lindi
·  RAS Lindi
Kundi B
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma (Courtesy Call) pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Kigoma
·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RC Kigoma
·  RAS Kigoma


ALHAMIS
15 JANUARI, 2015
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Lindi
·  Mkurugenzi Lindi
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Kigoma
·  Mkurugenzi Kigoma


IJUMAA
16 JANUARI, 2015
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Lindi
·  Mkurugenzi Kilwa
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu
·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Kigoma
·  Mkurugenzi Kasulu


JUMAMOSI
17 JANUARI, 2015
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Lindi
·  Mkurugenzi Nachingwea
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  RAS Kigoma
·  Mkurugenzi Uvinza
JUMAPILI
18 JANUARI, 2015
MAPUMZIKO
·  Wajumbe

JUMATATU
19 JANUARI, 2015

Majumuisho pamoja na Halmashauri za Mikoa ya Lindi na Kigoma

·  Wajumbe
·  TAMISEMI
·  Wakuu wa Mikoa
·  Makatibu Tawala
·  Halmashauri
JUMANNE
20 JANUARI, 2015
Kurejea Dar es Salaam
·  Wajumbe

JUMATANO -IJUMAA
21 – 23 JANUARI, 2015
Kujadili Rasimu ya Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015
·  Wajumbe
·  Sekretarieti
JUMAMOSI
24 JANUARI, 2015
Kusafiri kuelekea Dodoma
·  Wajumbe

  KAMATI YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015

UKUMBI:  CEEMI
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
·         Kuwasili Dar es salaam
·         Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015
·         Shughuli za Utawala
·         Kupokea taarifa ya uagizaji na uingizaji wa sukari nchini.
·         Taarifa ya uuzaji wa sukari nchini

·         Taarifa ya kodi iliyokusanywa kutokana na biashara ya sukari angalau miaka miwili kuishia Disemba 2014.
·         Wajumbe
·         Wizara ya Fedha.
·         TRA
·            Kupokea taarifa ya uzalishaji na uuzaji wa sukari ndani na nje ya nchi kutoka kwa wenye viwanda vya sukari nchini


·            Kupokea Taarifa ya uagizaji wa sukari nchini (angalau miaka 2  kuishia Desemba 2014)

·      Wajumbe
·      Wizara ya Viwanda na Biashara
·      Wazalishaji wa sukari nchini
·      Waagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi
Jumatano
14 Januari, 2015
·            Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ili kuujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014 (The Ware house receipts (Amendment) Bill, 2014)
·      Wajumbe
·      Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara
·      Wizara ya Kilimo, Ushirika na Chakula
·      Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Kutembelea Makao Makuu ya TBS:
·      kupokea Taarifa ya mfumo mpya wa ukaguzi wa bidhaa nje ya nchi kabla havijaletwa nchini.
·      Kutembelea na kukagua maabara ya kisasa n.k

·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         TBS

·         Kupokea taarifa ya ukusanyaji wa mapato toka sekta ya madini (Changamoto zilizopo katika mfululizo wa miaka mitano kuishia Desemba 2014)

·         Kupokea majibu ya hoja zilizoibuliwa na TMAA na TEITI na jinsi zilivyo shughulikiwa na TRA katika jitihada za kuongeza mapato ya serikali katika sekta ya madini (2010-2013)

·         Kupokea taarifa ya usimamizi wa mikataba ya Gesi ili kujiridhisha na usalama wa mapato ya taifa siku za usoni hususan mikataba ya ubia katika uzalishaji wa Gesi (PSA).

·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      Wizara ya Nishati na Madini
·      TRA
·      TPDC na TMAA

Alhamisi
15 Januari, 2015
Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kwa ajili ya kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014 (The Ware House Receipts (Amendment) Bill, 2014)
·        Wajumbe
·        Wizara ya Viwanda na Biashara
·         Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
·        Wadau mbalimbali
Ijumaa
16  Januari, 2015

·         Kupokea taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali kufikia Desemba 2014.
·         Kupokea taarifa ya ukusanyaji mapato yanayotokana na makampuni ya mawasiliano (TIGO, VODACOM, AIRTEL, TCCL, ZANTEL, n.k) – katika mfululizo wa miaka 3 kuishia Desemba 2014.

·      Kupokea taarifa kuhusu Mgogoro wa kimkataba kati ya SHIVACOM na VODACOM (Contract for the production of electronic recharge vouchers) na jinsi unavyochangia katika upotevu wa mapato ya Serikali.
·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      TRA
·      TCRA

Jumamosi
17 Januari, 2015
Kupitia mkataba wa Liganga na Mchuchuma

·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         NDC
Jumapili
18 Januari, 2015
Mapumziko
·         Wajumbe
Jumatatu
19 Januari, 2015
SEMINA kuhusu:
·            Mradi wa SELF (Small European Loan Facility)
·            Tanzania Micro Finance Association (TAMFI)
·            Sheria ya Benki na Fedha
·             Sheria mpya ya mambo ya Saccos na Microfinance.
·       Wajumbe
·      Sekretarieti
·      Wizara ya Fedha
·      TAMFI
·      SELF
Jumanne
20 Januari, 2015
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri, maagizo na maelekezo ya kamati kwa wizara ya viwanda na biashara wakati wa kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.

·        Wajumbe
·        Wizara ya Viwanda na Biashara
 
Jumatano
21 Januari, 2015
Kutembelea viwanda na kujionea fursa na changamoto zilizopo:
·      Murzah Oil (Kiwanda cha mafuta na sabuni)
·      Quality centre group of companies
·        Wajumbe
·        Wizara ya Viwanda na Biashara
·        Makampuni husika
Alhamisi
22 Januari, 2015
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya:
·      BRELLA,
·      FCC
·       WMA.



·        Wajumbe
·        Wizara ya Viwanda na Biashara
·        Brella
·        FCC
·        WMA
Ijumaa
23 Januari, 2015
Kupokea taarifa ya utekelezaji ya Benki Kuu  na kupokea majibu ushauri, maoni wa Kamati wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
·        Wajumbe
·        Wizara ya Fedha
·        Benki Kuu




·      Kutembelea viwanda na kujionea fursa na changamoto zilizopo:
·      Homeshopping centre
·      MM steel industries (Kiwanda cha uzalishaji wa nondo na mabati)

·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         Makampuni husika
Jumamosi
24 Januari, 2015
·         Kutembelea viwanda vya sukari vya Kilombero na Mtibwa.-Morogoro
·         Kutembelea viwanda vya nguo vya (Mohammed enterprises Ltd)-  Morogoro 
·         Wajumbe
·         Wizara ya viwanda na biashara
·         Makampuni husika
Jumapili
25 Januari, 2015
Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge
           
TANBIHI:
·                  Vikao vitaanza saa   3:00   asubuhi.
·                  Chai saa 4:30  asubuhi.

KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
 KUANZIA TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015

UKUMBI: ERASTO MANG’ENYA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
12 Januari, 2015
Kuwasili Dar es salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
13 Januari, 2015
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
Jumatano
14  na 15 Januari, 2015
Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ili kujadili  Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54

·      Wajumbe K/Mambo ya Nje na
·      Wajumbe K/Ulinzi
·      Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·      Mwanasheria Mkuu
·      Wadau
Ijumaa
16 Januari, 2015
·         Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini  kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
·         Kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014
·      Wajumbe
·      Waziri wa Mambo ya Ndani
·      Mwanasheria Mkuu
J/Mosi hadi J/Pili
17 – 18 Januari, 2015
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
Wote
Jumatatu
19 Januari, 2015
Kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014


·         Wajumbe
·         Wizara ya Mambo ya Ndani
·         Mwanasheria Mkuu
·         Chama cha Makampuni ya Ulinzi,
·         Makampuni binafsi ya ulinzi
·         Chama cha Wawindaji,
·         Makampuni ya Migodi Tanzania na Asasi zisizo za kiraia nchini
Jumanne
20 Januari, 2015
·     Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Wizara ya Ulinzi na JKT.

·     Kupokea maoni wadau: TPDF, SUMA JKT, NGOME na Idara ya Usalama wa Taifa, kuhusu Muswada  wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014

·      Wajumbe
·      Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi
·      Wizara ya Ulinzi na JKT
·      Idara ya Usalama wa Taifa
Jumatano
21 Januari, 2015
Kuchambua Maoni ya wadau na maelezo ya Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014
·   Wajumbe
·   Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi
·   Mwanasheria Mkuu
Alhamis
22 Januari, 2015
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Ofisi ya Rais Utawala Bora

§  Kupokea maoni ya TIS  kuhusu Ibara ya 66 hadi 68 za Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali, Na. 2 wa mwaka 2014    (Mapendekezo ya  kurekebisha Kifungu cha 4 na Kifungu cha 6 vya Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa Sura ya 266)
·         Wajumbe
·         Wizara ya Ulinzi na JKT

Ijumaa
23 Januari, 2015
Kupitia Rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015
§  Wajumbe
§  Sekretarieti
J/Mosi na J/Pili
24 – 25 Januari, 2015
Kuelekea  Dodoma
Katibu wa Bunge

TANBIHI:
  • Vikao vyote vitaanza saa 4.00 Asubuhi.
  • Tarehe 14 na 15 kikao kitafanyika Ukumbi wa Pius Msekwa Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam


No comments: