Thursday, January 15, 2015

CHUO KIKUU CHA SUMAIT ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA KUMI NA NNE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiongoza wahadhiri na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sumait Chukwani kuingia katika kiwanja cha Mhafali. Wa kwanza (kulia) kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Hamad Rashid Hikmany (kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo Dkt. Abdulrahman Al Muhailan. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya wahitimu wa chuo Kikuu cha Sumait wakiwa kwenye maandamano kuingia uwanja wa mahafali.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sumait Dkt. Abdulrahman Al Muhailan akizungumza katika mahafali ya 14 ya Chuo hicho yaliyofanyika Chukwani. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiwahutubia wanafunzi na wageni waalikwa katika mahafali ya 14 ya chuo Kikuu cha Sumit Chukwani. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Elimu Ali Juma Shamhuna akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa masomo ya Kiislamu na kiarabu Asha Yussuf Ali.
Baadhi ya wageni waalikwa wa mahafali ya 14 ya chuo Kikuu cha Sumait wakifuatilia sherehe hizo zilizofanyika Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

1 comment:

Anonymous said...

mmmh speechless