Mpishi
Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati
wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana,
wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Wanajeshi wakioneshwa shayiri inayotumika kutengenezea bia
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho
Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
Nkya akijibu maswali ya askari hao
Kanali Jimmy Mutai kutoka Chuo cha Jeshi Kenya akitoa shukurani kwa TBL BAADA UJUMBE WAO KUTEMBELEA KIWANDA
Kanali Mutai akikabidhi zawadi kwa Meneja wa Kiwanda hicho, Carvin Martine
Meneja
wa Mawasiliano-Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania, Emma Oriyo
(kulia), akiagana na baadhi ya wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya
baada ya kutembelea kiwanda cha TBL Dar es Salaam jana, wakiongozwa na
maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao
Wanajeshi wakioneshwa shayiri inayotumika kutengenezea bia
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho
Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakitembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam jana, wakiambatana na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
Oriyo akielezea mafanikio ya TBL na jinsi kampuni hiyo inavyoongoza katika pato la Taifa |
Kanali Mutai akikabidhi zawadi kwa Meneja wa Kiwanda hicho, Carvin Martine
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi Ofisa wa Jeshi la JWTZ, aliyeongoza ujumbe huo, Brigedia Jenerali Dominic Mrope |
Martine akimkabidhi zawadi Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Mipango na Ugatuzi, Purity Masikombe |
Ujumbe huo ukitembelea idara ya ujazaji bia kwenye chupa na makopo |
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao
No comments:
Post a Comment