|
Askari Polisi wa
kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima
kiwango cha kilevi, Manase
Temaeli, dereva wa gari la
Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya safari
zake kati ya miji ya Moshi na Arusha . |
|
Askari Polisi wa
kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima
kiwango cha kilevi ,Rumisha
Minja dereva wa gari la Mtei lenye namba za usajili, T 882
CDU linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar es
Salaam. |
|
Askari Polisi wa
kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akipima
kiwango cha kilevi kwa Zakayo
Chambo ,dereva wa gari la Kapricon Singida lenye namba T 134 BSU
linnalofanya safari yake kati ya miji ya Singida na
Moshi zoezi lililoratibiwa na kampuni ya
simu za mkononi ya Vodacom zoezi lililoratibiwa na kampuni ya
simu za mkononi ya Vodacom. |
|
Asakari wa Kikosi cha usalama barabarani
mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni
ya Vodacom Tanzania tawi la Arusha wakati wa zoezi la kupima kiwango
cha Kilevi kwa madereva wa mabasi yanayofanya safari katika ya mikoa
ya kaskazini zoezi lililoratibiwa na kampuni ya simu za mkononi ya
Vodacom. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment