Jeneza likiwasili katika makaburi ya Kisutu
Jeneza
Ankal na wakongwe wa muziki nchini
Ankal na Ali Choki
Wakongwe wakibadilishana mawazo
Mamia ya waombolezaji
Waombolezaji makaburini Kisutu
Jeneza likiwasili makaburini Kisutu
Mazishi ya Shem Ibrajim Karenga
Wadau wa muziki mazishini
Ankal akimuamkia Mzee Salim Zahoro
Wadau wa muziki wakimsika Shem Ibrahim Karenga
Mazishi
Waziri Ally akiweka udongo kaburini
Ankal akirekodi tukio kwa kutumia Polaroid Cube ambayo ndiyo iliyonasa video hii ya mazishi
Mzee Kassim Mapili na Tshimanga Assosa msibani
Mtoto wa marehemu akipewa neno la faraja na wazee wake
King Kikii akiongea na wanahabari
Alhaji Baraka Msiilwa akiwa na mtoto wa marehemu, Karenga
Tshimanga Assosa akimpa pole mtoto wa marehemu huku Maliki Star (shoto) na Mkurugenzi wa African Stars Entertainment Alhaji Baraka Msiilwa
Wakongwe wa muziki Tanzania
Kaka Zomboko na wakongwe wa muziki
Mzee Unyeke na wakongwe wenzie
Wakongwe wa muziki
Ankal na wanamuziki wakongwe wa bendi mbalimbali na wanakandanda
Dua baada ya maziko
Kuagana baada ya msiba
Bitchuka na Mzee Salim Zahoro
Ankal akiwa na Hassan Rehani Bitchuka (kushoto kwake) na Mzee Salum Zahoro wa Shikamoo Jazz band, Scotto na Tony wa Sikinde
Mzee Kassim Mapili akiwa na mdau wa muziki
Ankal akiwa na wakomgwe wa kandanda Peter Tino (kushoto) na Hamisi Soda baada ya mazishi
No comments:
Post a Comment