Tuesday, December 16, 2014

DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.
Washiriki wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo ulioongozwana Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar(ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee akitoa taarifa yake kwa washiriki wa Mkutano wa 8 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja na kuhudhuriwa na wafanyabishara mbali mbali (kushoto) ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee(kulia).
Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake na kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Mfanyabiashara Dr.Salim Nassor alipokuwa akizungumzia suala la Soko kwa wafugaji wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu.)

No comments: