Mrembo Richa Adhia akiwa katika vazi la khanga la Asya Idarous wa Khamsin
Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD
Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akitoa neno la shukrani kwa Mwenyezi Mungu baada ya kupokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD
Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akiwa haamini macho yake baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD
Mamodo mbalimbali wakiwa katika mavazi ya Khanga ya Fabak Fashions ya Asya
No comments:
Post a Comment