Wakunzi na baadhi ya watumishi wa kada nyingine katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MOCU) wakiwa katika mahafali ya tisa chuoni hapo yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo hicho,Ushirika. |
Wahitimu wa kozi mbalimbali katika ngazi ya Shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) wakiwa wenye furaha wakati wa mahafali ya tisa yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo hicho. |
Wahitimu wa kozi mbalimbali katika ngazi ya Mastaer's katika chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) wakiwa wenye furaha wakati wa mahafali ya tisa yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo hicho. |
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Dkt Richard Sezibera akizungumza wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) |
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) AL-Noor Kassum akiwatunuku wanafunzi wa ngazi mbalimbali waliohitimu masomo yao Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) |
|
Wahitimu wakifurahia mara baada ya kutunukiwa. |
Brass band ya Chuo cha Polisi Moshi ikitoa burudani wakati wa mahafali hayo. |
|
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Al-Noor Kassum ikitoka uwanjani huku akiwapungia mkono wahitimu mara baada ya shughuli za mahafali kumalizika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika. |
Balozi ,Sezibera akisindikizwa kutoka uwanjani hapo. |
Balozo Sezibera akiondoka katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika mara baada ya shughuli za mahafali kumalizika. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini,
No comments:
Post a Comment