|
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi
,Hajira Mmambe akikabidhi ndoo ya mafuta kwa Mchungaji wa Kanisa la
KKK Usharika wa Rau ,Sifuel Macha ikiwa ni sehemu ya msaada katika
kituo cha kulelea watu wenye Mtindio wa Ubongo cha Ushirika wa Rau
,DCC mjini Moshi. |
|
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi
,Hajira Mmambe akigawa pipi kwa watoto katika kituo cha kulelea watu
wenye ulemavu wa mtindio wa Ubongo cha Ushirika wa Rau DCC mjini
Moshi. |
|
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi
,Hajira Mmambe akisalimiana na baadhi ya watu wenye mtindio wa
Ubongo wanao lelewa katika kituo cha Ushirika wa Rau
DCC. |
|
,Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi
,Hajira Mmambe (shoto) akiwa na Mkurugenzi wa Operesheni wa
Benki ya Azania ,Togolani Mramba wakimtizama mmoja wa watoto wanao
lelewa katika kituo hicho akiandika jambo. |
|
Wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Moshi
wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha
Usharika wa Rau,DCC. |
|
meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi
,Hajira Mmambe akiwa na watoto wanaolelewa katika kituo
hicho. |
|
Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi
pamoja na watoto wa kituo cha Ushirika wa Rau DCC wakifanya
sala. |
|
Baadhi ya msaada uliotolewa na Azania Bank
katika kituo hicho. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment