Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Ntenga. |
Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Parane. |
Mbunge Anne Kilango akitoka kukagua timu za sekondari za Parane na Ntenga. |
Wachezaji wa timu za sekondari za Parane na Ntenga wakiimba wimbo wa Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa fainali. |
Kikosi cha timu ya Ntenga sekondari. |
Kikosi cha timu ya Paranae Sekondari. |
Baadhi ya watazamaji wakifuatilia mchezo wa fainali kati ya timu ya Parane na Ntenga. |
Kikosi cha timu ya kata ya Kihurio kikipasha misuli moto. |
Vikosi vya timu za kata ya Kihurio na kata ya Maore wakiwa tayari kukaguliwa. |
Mgeni rasmi katika fainali za John Samwel Malecela 2014 ,mbunge wa viti maalumu Ester Bulaya akikagua timu za kata ya Kihurio na Maore. |
Timu za kata ya Kihurio na kata ya Maore wakiimba wimbo wa Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali. |
Kikosi cha timu ya kata ya Maore. |
Kikosi cha timu ya kata ya Kihurio. |
Afande kata akiimarisha ulinzi uwanjani. |
Zawadi kwa washindi zikiwa zimeandaliwa mbele ya mgeni rasmi. |
Washiriki wa mashindano hayo wakiwa tayari kupokea zawadi zao. |
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango akizungumza kabla ya zoezi la utolewaji wa zawadi kuanza. |
Mgeni rasmi katika Mashindano ya Malecela Cup 2014 ,Mbunge Ester Bulaya akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi. |
Mgeni rasmi ,Ester Bulaya akimvisha medali ,mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango akiwa ndiye mdhamini mkuu wa mashindano hayo. |
Mbunge Anne Kilango akifurahia mara baada ya kuvishwa medali. |
Mbunge Ester Bulaya akimkabidhi zawadi nahodha wa timu ya Kihurio Emanuel Mohamed bada ya timu yake kushika nafasi ya pili. |
Mgeni rasmi Ester Bulaya akiwa ameshikilia kombe kwa ajili ya mshindi wa kwanza katika mashindano ya Malecela Cup 2014 . |
Nahodha wa timu ya Kihurio akifurahia na wakazi wa kata ya Kihurio mara baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa katika mashindano ya Malecela Cup 2014. |
Mbunge Anne Kilango akizungumza jambo mara baada ya mshindi wa kwanza kukabidhiwa zawadi ya kombe pamojna na pesa taslimu kiasi cha shilingi 700.000. |
Kikosi cha timu ya Maore wakifurahia ushindi. |
Mbunge Anne Kilango akigawa zawadi ya sahani kwa wanafunzi wa shule za sekondari za kata 16 katika jimbo la Same Mashariki zilizoshiriki mashindano hayo. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment