Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Moshi vijijini ,Hussein Jamal akizungumza wakati wa kikao cha makatibu kata na makatibu wa matawi kilichofanyika katika hotel ya King Size Himo. |
Mwenyekiti wa Makatibu katika jimbo la Vunjo ,Shaban Mwangi akisoma taarifa ambayo inadaiwa kupikwa kwa lengo la kukivuruga chama hicho katika jimbo la Vunjo. |
Baadhi ya viongozi wakisilikiliza kwa makini. |
Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakati wa kikao hicho ambacho kilijadili pia tuhuma zilizotolewa dhidi yake. |
Makatibu wakila kiapo . |
Baadhi ya makatibu katika kikao hicho. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment