Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara zake za kumarisha Chama.

Kikundi cha Ngoma ya Benibati wakitumbuiza kwa Ngoma hiyo wakati wa Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika kumarisha Chama uliofanyika leo katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja kwa kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapongeza wasanii wa kikundi cha Benibati kilipotumbiza kwa wajumbe wa Mkutano maalum wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani kabla ya kuzungumza nao katika kuimarisha Chama leo viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni mwendelezo wa ziara katika Mikoa ya Unguja.
Baadhi ya WanaCCM Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa leo kuzungumza na Viongozi hao katika Mkutano maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kati Unguja.
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama uliofanyika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa.
Wasoma Utenzi Warda na Fadhila kutoka Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja wakihani utenzi wao wakati wa mkutano maalum wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara maalum ya kuimarisha Chama cha CCM Mkoa wa Kusini Unguja.
Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Samia Ramadhan Mpambalyota (kulia) akikabidhi Taarifa ya kazi ya Mkoa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika viwanja vya Tamarind Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja leo.
Shemsa Abdalla Ali jimbo la Koani alipokuwa akisoma risala fupi ya Mabalozi wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Tamarind HotelKijiji cha Uroa Wilaya ya kati Unguja.
Mwenyekitiwa CCM Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mrisho alipokuwa akizungumza machache na Kumkaribisha Mwenyekiti CCM Mkoa Kusini Unguja katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya kati Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment