Friday, November 14, 2014

BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP

4 Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa kuzikutanisha timu za Burudani Fc ya Temeke mikoroshini dhidi ya Kiluvya Utd kutoka mkoani Pwani, mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana baada ya dakika 90 ikabidi changamoto ya mikwaju ya penati itumike kumpata mshindi na timu ya Burudani ikafanikiwa kupata mikwaju minne dhidi ya miwili ya kiluvya,golikipa Abraham Abdallah wa Burudani alipangua penati moja ya kiluvya. 10 KIKOSI CHA BURUDANI FC 11 KIKOSI CHA KILUVYA UTD......... Capture 9 SEHEMU YA MASHABIKI WAKITAZAMA MPAMBANO MKALI KATI YA BURUDANI NA KILUVYA UTD.... 1 SSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS 6 KOCHA WA KILUVYA UTD YAHAYA ISSA AKITOA MAWAIDHA WAKATI WA MAPUMZIKO,YAHAYA ISSA NI KIUNGO WA ZAMANI WA VILABU VYA YANGA NA MORO UTD... 8 MBWIGA MBWIGUKE AKIWA KAZINI....................... 1 2 13 Capture

No comments: