Baadhi
ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze
wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani ya moja ya ukumbi wa hoteli
ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.Semina ya Fursa 2014
inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la Fiesta 2014 linalotarajiwa
kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua mjini Singida.
Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu
Baadhi
ya Vijana walioitumia Fursa ya kutengeneza fulana za tamasha la Fiesta
baada ya kubaini kuna uhaba mkubwa wa fulana hizo,ambazo zilitarajiwa
kusambazwa na waandaji wenyewe,Vijana hao waliuza fulana hizo kila moja
kwa shilingi Elfu kumi kwa kila moja.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata
Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakiwa wamenyoosha mikono juu
wakiunga mkono moja ya mada iliyokuwa ikizungumza kwenye semina hiyo
iliyofanyika katika moja ya ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya
mji wa
Singida.Semina ya Fursa 2014 inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la
Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua
mjini Singida.
Muonekano wa ukumbi mlimofanyika semina ya Fursa 2014 mapema leo asubuhi.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata
Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya
mji wa
Singida wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikizungumzwa.Semina ya Fursa 2014 inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la
Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua
mjini Singida.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la Hip hop lijulikanalo kwa jina
la WEUSI,Niki wa Pili akizungumza mbele ya mamia ya washiriki wa semina
ya fursa iliyofanyika katika hoteli ya KBH nje kidogo ya mjini wa
Singida,Niki amewataka vijana mbalimbali kuhakikisha ndoto zao haziishii
njiani na badala yake wazifanyiekazi ili kujiletea maendeleo katika
maisha yao ya kila siku,pia amewataka kuitumia vyema fursa wanayoipata
katika njia mbalimbali.v
Mmoja wa washiriki wa semina ya Fursa,akiulaza swali na pia kuielezea fursa aliyonayo katika harakati za kutafuta maendeleo.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Automobile Garage,Joseph Msuya akifafanua jambo
kuhusiana na namna alivyoaianzisha kampuni yake na kufikia hapo
alipo,akitumia teknolojia za kisasa kabisa katika suala zima la ufundi
wa magari,utengenezaji Viyoyozi vya magari na mambo mengine mbalimbali.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata
Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya
mji wa
Singida wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikizungumzwa.
Mkurugenzi
wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akifafanua
jambo kwa washiriki (hawapo pichani),wa semina ya Fursa iliyofanyika
mapema leo ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya
mji wa
Singida,ambapo watu mbalimbali wakiwemo wanavyuo walishiriki.
Mmoja wa washiriki wa Semina ya Fursa akiuliza swali kwa Meza kuu ya watoa mada kuhusiana na mradi wa ufugaji wa kuku.
Mwakilishi
kutoka Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Ally Mkulemba
akizungumza faida mbalimbali za kujiunga na shirika hilo la NSSF,alisema
kuwa vijana wanapaswa kuamka kwa sasa na kuanza kuzichangamkia fursa
zitokanazo na shirika hilo,ikiwemo mikopo,bima ya Aya na mengine kwa
maendeleo na ujenzi wa maisha bora
Msanii
wa Bongofleva Baba Levo,ambaye pia ni mmoja wa mabalozi wa shirika hilo
la NSSF,akielezea yeye na wasanii wenzake wanavyonufaika na fursa
mbalimbali zipatikanazo na shirika,Baba Levo amewataka wasanii
mbalimbali ambao bado hawajajiunga na shirika hilo wakiwemo na vijana
mbalimbali wafanye hivyo sasa,kwani shiriki hilo linatoa fursa nyingi za
kuwawezesha vijana kuwapa wigo mkubwa wa kutimiza ndoto za maisha yao
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata
Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakimsikiliza Msanii mahiri wa Mashairi pichani,Mrisho Mpoto,alipokuwa akizungumza
ndani ya moja ya ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa
Singida.Semina ya Fursa 2014 inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la
Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua
mjini Singida.
No comments:
Post a Comment