Friday, September 12, 2014

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wamalizika leo jijini Arusha

Mgeni Rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Jowika Kasunga akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano huo uliomalizima leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha zote na Othman Michuzi,Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja azungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akitoa hotuba fupi wakati wa kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
 Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Midland cha Mbabane,Swaziland,Dkt. Michael Angelo Mlauzi,akiwasilisha mada yake kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Muwakilishi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof. Bakari Lemberiti akiwasilisha Mada iliyohusu umuhimu wa tiba ya Kinywa na Meno katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. Lenny Kisarika akisikiliza mada mbali mbali ziliyokuwa zikitolewa kwenye Mkutano huo uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akifatilia kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja akifatilia kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Waheshimiwa Wabunge wakiwa kwenye Mkutano huo.

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya PPF wakifatilia mada kwenye mkutano huo.

Mmoja wa Wadau wa PPF akiuliza swali.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa PPF wakiwa kwenye Mkutano huo wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Dada Lulu Mengele wa PPF.
Wadau wakipitia mambo.
Wadau wakiwa kwenye Mkutano huo.
Wapiganaji wakiwa kazini.
Wadau wa Sekretarieti ya PPF wakiwajibika.

No comments: