Saturday, August 30, 2014

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka kushoto) ambaye anatokea Michigan na anayefuatia ni Grace Mlingi.
 Washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant wakifuatilia jambo kutoka kushoto ni Maria Rutayuga, Mercy Sakaya na Grace Mlingi.
 Kutoka kushoto ni Maria Rutayuga kuotoka Maryland, Jesca Kalemera kutoka New Jersey, Mercy Sakaya kutoka Michigan na Grace Mlingi kutaoka Maryland.
 Washiriki wakimsikiliza mmoja ya waratibu alipokua akiwaelekeza jambo kwenye hotel waliyofikia ya Double Tree iliyopo Dwntown Silver Spring

No comments: