 |
Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri
wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika. |
 |
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe
akiwakaribisha wananchi katika futari aliyoandaa
kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga. |
 |
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe
akizungumza na wageni wake alipowaalika kwa ajili ya
Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu
wilayani Mwanga. |
 |
Mke wa Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe
,Kudra Maghembe akiwakaribisha wananchi katika
futari iliyoandaliwa kwa ajili yao. |
 |
Waumini wa dini ya Kiislamu wakiswali swala
ya Magharibi katika eneo la
Ikulu wilayani Mwanga kabla ya Futuru iliyoandaliwa na Waziri wa Maji
Prof,Jumanne Maghembe. |
 |
Wananchi wakipata Futari. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
Jamii
Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment