| Baadhi ya waamuzi waliofanya kazi ya Uamuzi na Marehemu Henry Lyimo (KIPESE),Nathan Lazaro na Vitaris wakiwa nyumbani kwao na Marehemu kuhani msiba. |
| Kocha Hamad Haule ambaye amekuwa karibu sana na Marehemu Kipese akijaribu kuweka mambo sawa ili kuhakiksha wanaofika Msibani wanapata sehemu ya kuketi. |
| Wadau wa Michezo wakijadiliana jambo katika Msiba huo. |
| Baadhi ya waamuzi wa mchezo wa soka mkoa wa Kilimanjaro. |
| Waombolezaji waliofika katika msiba huo. |
| Baadhi ya wanahabari wakijadiliana jambo. |
| Wanahabari wa kike wao pia walikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika nyumbani kwao na Marehemu. |
| Afisa Habari wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shaban Pazi akiteta jambo na mwandishi Charles Ndagulah. |
| Marehemu Henry Lyimo enzi za uhai wake akitekeleza majukumu yake katika kituo cha radio cha Moshi fm. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment