Tuesday, June 17, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambao wote wanatoka Chama cha Mapinduzi CCM wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo wakiwa Wageni wa Naibu Spika, Mhe.Job Ndugai. Pichani Naibu Spika, Mhe.Job Ndugai (Mbunge wa Kongwa) katikati akimtambulisha Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kwa wageni wake,Madiwani,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambao wote wanatoka Chama cha Mapinduzi.
 
 Naibu Spika, Mhe.Job Ndugai (Mbunge wa Kongwa) katikati akifurahia jambo kwa kupiga makofi wakati akimtambulisha Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kwa wageni wake,Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambao wote wanatoka Chama cha Mapinduzi kabla ya kupiga picha ya pamoja
 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akiongea  na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambao wote wanatoka Chama cha Mapinduzi CCM wakati wakiwa katika  Ziara ya kimafunzo, kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge .
 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati katika picha ya pamoja na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambao wote wanatoka Chama cha Mapinduzi CCM wakati wakiwa katika  Ziara ya kimafunzo, kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge .
 Mhe.Vicky Paschal Kamata kushoto akibadilishana mawazo na wabunge wenzake kutoka kushoto kwake,Mhe.Anna Abdallah,Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa ,Mhe.Gaudentia Kabaka(Waziri wa Kazi na Ajira) na Mhe.Rosemary Kasimbi Kirigini.

 Balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe.Philip Marmo katikati akijadiliana jambo kutoka kulia Mwanasheria Mkuu,Mhe.Jaji Frederick Werema,Mhe.Vita Kawawa,Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa na Mhe.Beatrice Shelukindo.
 Balozi wa Ujerumani Mhe.Philip Marmo kulia akiwa akiongea na Mwenyekiti wa  CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni.
 Balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe.Philip Marmo kulia alisalimiana na(kutoka kushoto)Mhe.Peter Serukamba, Mhe.Edward Lowassa,Mhe.Vicent Nyerere na Mhe.Dkt.Emmanuel Nchimbi.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe.Philip Marmo akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Bernadette   Kasabogo Mushashu katika viwanja vya Bunge
  Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi katika Viwanja vya Bunge
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw.Assah Mwambene kulia akizungumza na Waziri wa Mali Asili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu
 Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.Edward Lowassa akizungumza na Waandishi wa Habari wanaoripoti habari za Bunge katika viwanja vya Bunge leo

 Naibu waziri wa Fedha Mhe. Mwingulu Nchemba akizungumza na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambo wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Marck Mwandosya akiwapungia mkono ishara ya kuwasalimia  Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya Kongwa ambao wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe.Ally Keissy Mohamed kushoto akishangaa jambo kwa kushika mdomo wakati akisalimiana na Naibu Spika Mhe.Job Ndugai ambaye leo amepata ugeni mzito kutoka kwenye jimbo lake la Kongwa,Madiwani ,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya. Picha zote na  Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati

No comments: