Tuesday, June 17, 2014

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA

BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia na ofisa wa mfuko huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo Bw,Kambilo Crement wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma


Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimpatia mahelezo mmoja ya wananchi waliofika kutembelea banda lake Bw.Ahmed Sendi wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea katika viwanja vya mmnazi mmoja Dar es salaam Picha na mpiga picha wetu
--

Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizerkulia akisalimiana na mtumishi wa manspaa ya Temeke idara ya maendeleo ya jamii Bw.Emanuel Hinjo alipotembelea banda hilo katika mahazimisho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam
 maandamano
 wafanyakazi wa PSPF wakipita mbele ya mgeni rasmi
banda la PSPF  lilivyo katika viwanja vya mnazi mmoja

No comments: