Sunday, May 18, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MWANASHERIA LUKE SEYAYI

 Shemeji yake Marehemu Judith Mtania (katikati)akilia kwa uchungu katika misa ya na zoezi la  kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasheria wa Wizara ya Maliasili na Utalii marehemu Luke Seyayi iliyofanyika katika kanisa la AIC Magomeni jijini Dar es salaam leo
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi wakati wa ibada maalumu ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasheria wa Wizara ya Maliasili na Utalii marehemu Luke Seyayi iliyofanyika katika kanisa la AIC Magomeni.
 Mmoja wa wafanyakazi wenzake akitoa shukurani kwa niaba ya wafanyakazi wenzake.
 Mchungaji wa kanisa la AIC  la Magomeni akiongoza ibada maalumu ya kuuaga mwili.
 Baadhi ya wafanyakazi wenzake wakitoa heshima za mwisho.
 Wanasheria wenzake wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Luke Seyayi tayari kwa mazishi katika makaburi ya Kinondoni.
Wanasheria wenzake wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Luke Seyayi tayari kwa mazishi katika makaburi ya Kinondoni. 
 Familia ya Seyayi Mama mzazi (watatu toka kushoto) wakiwa na  nyuso za uzuni.
Kaka zake Marehemu wakiweka shada la maua.   

No comments: