Friday, May 16, 2014

Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania Yafunguliwa Diamond Jubilee Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, akizungumza na wafanyabiashara wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania kabla ya kuyafungua rasmi maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameanza leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.  
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, akizungumza na wafanyabiashara wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania kabla ya kuyafungua rasmi maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameanza leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania. Bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania. Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, akizungumza na wafanyabiashara wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania kabla ya kuyafungua rasmi maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameanza leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, akizungumza na wafanyabiashara wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania kabla ya kuyafungua rasmi maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameanza leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (wa pili kushoto) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya kufungua maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (wa pili kushoto) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya kufungua maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya kufungua maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya kufungua maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, wamiliki wa mtandao wa JamiiForums (kulia) akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Jamii Media wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, wamiliki wa mtandao wa JamiiForums (kulia) akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Jamii Media wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania. Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania. Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Mazungumzo ya kibiashara yakiendelea katika Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yakiendelea ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Mazungumzo ya kibiashara yakiendelea katika Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yakiendelea ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yakiendelea ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. 
Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yakiendelea ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya viongozi wakuu walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzani. Picha ya pamoja ya viongozi wakuu walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzani. Picha zote na www.thehabari.com

No comments: