Monday, May 19, 2014

BENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA

Meneja wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon akizungumza wakati wa mkutano huo.
Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akizungumza wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, ambapo Benki ya CRDB ilitoa mada mbalimbali kuhusiana na huduma wanazotoa ikiwemo Huduma ya Kutuma Fedha kwa watanzania waliopo nje ya nchi kupitia akaunti ya Tanzanite pamoja na Mikopo ya Nyumba. 
Meneja wa Premier Banking, Joyce Ishemoi akizungumza wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akitoa mada kuhusu akaunti hiyo ambayo ni kwa ajili ya Watanzania walio nje ya nchi kutuma fedha nyumbani kwa kutumia akaunti hiyo, wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi, Simba Yahaya akizungumza wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Premier Banking, Joyce Ishemoi akigawa vipeperushi vyenye taarifa za huduma za Benki ya CRDB wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakisoma vipeperushi vya Benki ya CRDB wakati wa mkutano huo. 
Washiriki wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa katika mkutano huo. 
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakipata maelezo ya huduma mbalimbali za kibenki kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakipata maelezo ya huduma mbalimbali za kibenki kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru.
Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akiwaonesha kadi za benki ya CRDB washiriki wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Account Manager-Mortgage, Emmanuel Kimaryo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja kutoka kulia waliokaa chini ni Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha, Meneja wa Premier Banking, Joyce Ishemoi. Waliosimama kutoka kushoto ni Account Manager-Mortgage, Emmanuel Kimaryo, Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru, Meneja Mikopo ya Nyumba, Silas Katemi na Ofisa wa Benki hiyo, Nasiwa Solomon na Ruhore Masaka.

1 comment:

Anonymous said...

Tunajiunga vipi na hiyo accounti? Tunaomba maelezo mazuri kuhusu mikopo.
Asante.