Monday, March 3, 2014

WAKENYA WAENDELEA KUTESA KILIMANJARO MARATHON

Kilimanjaro Marathoni imeshirikisha watu wa rika zote.
Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni kwa upande wa wanawake Frida Lodepa wa Kenya.
Mshindi wa kwanza wa Half Marathoni ,Jackline Sakilu akihitimisha mbio.
Mbio za Kilimanjaro marathon zimetuunganisha.
Waliofanikiwa kumaliza mbio walishindwa kusimama na kuhitaji msaada.
Wenye ulemavu pia wameshiriki vyema mbio hizo.
Matibabu yalikuwepo kwa wale waliopata tatizo wakati wa mashindano.
Kampuni ya GAPCO ilisimamia zoezi la zawadi kwa washindi kwa wenye ulemavu.
Kila mwaka huwa kama siku kuu ya kuwakutanisha watu pamoja.
Walemavu wakiwa wamekusanyika baada ya mashindano.
Kawe Jogging club walisafiri toka Dar hadi Moshi kwa ajili ya Kilimanjaro Marathoni.
Wale wa mbio za kujifurahisha Vodacom Fun Run walijinyakulia na zawadi za kutosha toka Vodacom.
Wadau pia walikuwepo.
Waziri wa habari, Utamaduni na Michezo Dk Fenera Mukangara akikabidhi mfano wa hundi ya sh Mil 2 kwa mshindi wa pili wa  Haf Marathoni wanawake.
Washindi wa Half Marathoni wakiwa katika picha ya pamoja.
Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni David Ruto akionesha mfano wa hundi ya sh mil 4 iliyotolewa kwa mshindi wa kwanza.
Wadau wakiwa katika maadalizi ya mbio za Vodacom Fun Run.
Msanii wa michezo ya kuigiza Mhogo Mchungu naye pia alikuwa karibu akifuatili mbio hizo. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi

No comments: